ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Nimekumiss, shida yako unafichwa sana..We mzee wa kipare mzima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss, shida yako unafichwa sana..We mzee wa kipare mzima?
🤣🤣🤣mnanimaliza maarifa sana nyie wakaka wa kipareAcha basi😅
Una akili kubwa sana hongera kamanda1. Nina elimu ya Masters.
2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.
3. Nina watoto 3.
4. Mke mzuri.
5. Mpare kwa kabila.
6. Naipenda Israel na Urusi.
7. Najua kutumia silaha za moto.
8. Najua matumizi sahihi ya R na L.
9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.
10. Mpenzi wa simba SC.
11. Nachukia Ugaidi wa nchi za kislamu.
13. Najua Kiswahili kingereza na kitaliano kidogo.
14. Najua shida na raha
15. Mpenzi mkubwa wa chadema (CCM hapana wana mambo mengi nisiyokubaliana nayo hasa utekaji na wizi wa kura.
16. Rais wangu kipenzi wa tz ni nyerere Mkapa na Jakaya.
17. Nakunywa pombe.
18. Niko timu ndoa (kuoa ni muhimu na baraka.
19. Kipato changu ni 20mM kwa mwezi.
20. Naishi Arusha Tanzania na nakuru kenya.
Mimi Sina mbona najikubali I don't fakeSio peke yako bali JF members wote tunasifa hizo,hakuna asiye na ajira kika mtu ana masters na tunaishi kwenye majiji,nasema uongo ndugu zanguni
Kwetu huchomoki, ipo wazi kabisa😅😅😅🤣🤣🤣mnanimaliza maarifa sana nyie wakaka wa kipare
Nakumiss pia mzee mwenzanguNimekumiss, shida yako unafichwa sana..
Sinywi dengelua tafadhaliKitendo cha wewe kuwa mpare miguu imenyongonyea.
Hatufanani mkuu pia sijarithi nime hustler binafsi baada ya familia mzee na mother kuparaganyika miaka ya 90Milion 20 kwa mwenzi wengine sie inasoma kwa week........haha
20mM ni pesa ya kula lunch tajiri wetu wa Jf KIDUKULILO😁Nimefurahishwa na andiko lako, Japo una kipato kidogo
Bila shaka wewe muhaya🤣alafu tamthilia kuna bibi anasemaga una hamu na '"chapati nini"1. Nina elimu ya Masters.
2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.
3. Nina watoto 3.
4. Mke mzuri.
5. Mpare kwa kabila.
6. Naipenda Israel na Urusi.
7. Najua kutumia silaha za moto.
8. Najua matumizi sahihi ya R na L.
9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.
10. Mpenzi wa simba SC.
11. Nachukia Ugaidi wa nchi za kislamu.
13. Najua Kiswahili kingereza na kitaliano kidogo.
14. Najua shida na raha
15. Mpenzi mkubwa wa chadema (CCM hapana wana mambo mengi nisiyokubaliana nayo hasa utekaji na wizi wa kura.
16. Rais wangu kipenzi wa tz ni nyerere Mkapa na Jakaya.
17. Nakunywa pombe.
18. Niko timu ndoa (kuoa ni muhimu na baraka.
19. Kipato changu ni 20mM kwa mwezi.
20. Naishi Arusha Tanzania na nakuru kenya.
Herehoa Ambiere1. Nina elimu ya Masters.

Mko Verde sana,wahandsome tatizo sasa linajulikana...mfano hiyo 20 M hapo juu hamna namna unaweza kuila kiurahisi😅Kwetu huchomoki, ipo wazi kabisa😅😅😅
HAtujui kama anasimamishaKuna sifa moja hujaitaja
Hilo linajulikana, na tuko proud kabisa 😅😅😅Mko Verde sana,wahandsome tatizo sasa linajulikana...mfano hiyo 20 M hapo juu hamna namna unaweza kuila kiurahisi😅
Sasa mtu atakupangiaje kuhusu kusarandiaM
Mkuu kweli wewe ni mlozi mganga wa kienyeji mtabiri na mjua mengi yaliyo sirini mimi ni kati ya wale waliofwatwa na moderators inbox kupigwa mkwala nisiwasalandie kina To yeye inbox kifala.
Wapare wenzako hao wameolewa wewe bado uko unaaogeza furniture tuishi why my dear fanya kweliMko Verde sana,wahandsome tatizo sasa linajulikana...mfano hiyo 20 M hapo juu hamna namna unaweza kuila kiurahisi😅
Kweli kabisa mkuu😅🤣nasema uongo ndugu zanguni