Mimi superbug sifa zangu ni hizi

Mimi superbug sifa zangu ni hizi

Hilo linajulikana, na tuko proud kabisa 😅😅😅
Daah nyie watu nyie!huwezi amini vile vianko vyako ni vidogo ila huchezei pocket money yake kakishika😇
 
Sinywi dengelua tafadhali

Hatufanani mkuu pia sijarithi nime hustler binafsi baada ya familia mzee na mother kuparaganyika miaka ya 90
Dengelua haina tatizo hata!tatizo ni namna ya matumizi ya hiyo 20M hapo ndio tatizo linapoanzia
 
M

Mkuu kweli wewe ni mlozi mganga wa kienyeji mtabiri na mjua mengi yaliyo sirini mimi ni kati ya wale waliofwatwa na moderators inbox kupigwa mkwala nisiwasalandie kina To yeye inbox kifala.
Hi! Miss you man!
How are you doing?
 
Back
Top Bottom