kama roho ni energy basi Nafsi ni kitu kinachozalisha io energy
Mwil na roho ndio energy
Ni forms tuu
Mungu no zaid ya roho
Maana ata mashetan ni roho
Hata mwanadamu ndan anaroho.
Nafsi ni pumzi ya Mungu
Ule uhai.
Unaoiendesha mwili pamoja na roho
Yaani nafsi ndio mtu.
Mwanzo 2:7
[7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
And the LORD God formed man of the dust of the ground, and breathed into his nostrils the breath of life; and man became a living soul.