Mimi Yanga ila mwaka huu Simba wametuzidi kwenye jezi

Kuna watu mnavounda jambo msifikiri uwezo wa kung'amua mambo ni mfupi kama mlivo wengine wanaanzia kufikiri ulipoishia, siku zote maji hujitenga na mafuta. Wewe usimba wako unauvalisha ngozi ya wananchi wazalendo utajisumbua bure sisi wala jezi za simba kwanza ni low quality in term of material as well as designing ya Yanga ni ya kiwango cha juu sana sio hizo BLAUZI za kuuzia maandazi na maji zinauzwa mpaka buku jero mtaani. Ushauri timu ziko nyingi hamia kokote usituletee kiwingu jezi yetu murua mno haijawahi kutokea. Msivunge wana Jangwani kumbe misukule ya ughaibuni.
 
Sasa unawezaje kufananisha jezi zetu na za msimbazi interm of materials
 
Kwanini tusikubali jamaa wametuzidi
 
Yanga hatuna 'fan uchwara' Kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…