Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu ntakuwa naivalia huku huku mana leo asubuhi nilienda kujipatia ya kwangu kwa ajili ya kuivaa kesho.Jezi moja ramami tatu kama Atlasi..Jichanganye uje nalo nyumbani! Tina kudelete kwenye ukoo😬
Binamu ntakuwa naivalia huku huku mana leo asubuhi nilienda kujipatia ya kwangu kwa ajili ya kuivaa kesho.
Kuna watu mnavounda jambo msifikiri uwezo wa kung'amua mambo ni mfupi kama mlivo wengine wanaanzia kufikiri ulipoishia, siku zote maji hujitenga na mafuta. Wewe usimba wako unauvalisha ngozi ya wananchi wazalendo utajisumbua bure sisi wala jezi za simba kwanza ni low quality in term of material as well as designing ya Yanga ni ya kiwango cha juu sana sio hizo BLAUZI za kuuzia maandazi na maji zinauzwa mpaka buku jero mtaani. Ushauri timu ziko nyingi hamia kokote usituletee kiwingu jezi yetu murua mno haijawahi kutokea. Msivunge wana Jangwani kumbe misukule ya ughaibuni.Uzi huu daaView attachment 1566983
Sasa unawezaje kufananisha jezi zetu na za msimbazi interm of materialsKuna watu mnavounda jambo msifikiri uwezo wa kung'amua mambo ni mfupi kama mlivo wengine wanaanzia kufikiri ulipoishia, siku zote maji hujitenga na mafuta. Wewe usimba wako unauvalisha ngozi ya wananchi wazalendo utajisumbua bure sisi wala jezi za simba kwanza ni low quality in term of material as well as designing ya Yanga ni ya kiwango cha juu sana sio hizo BLAUZI za kuuzia maandazi na maji zinauzwa mpaka buku jero mtaani. Ushauri timu ziko nyingi hamia kokote usituletee kiwingu jezi yetu murua mno haijawahi kutokea. Msivunge wana Jangwani kumbe misukule ya ughaibuni.
Yanga hatuna 'fan uchwara' Kama wewe.Hakika nimetoka kuona jezi zetu mpya wana janngwani nimekuwa disappointed kwakweli, sikuwahi fikiria kusubiri kote kule wangetuletea vituko kama vile aisee..
Jezi kuna ramani humohumo, jezi ina ukungu humohumo, designer wetu sijui wamekwama wapi mbona wenzetu simba jezi zao mzuri aisee, jezi za simba rangi imetulia isitoshe ata designer wao hakutaka kucomplicate sana lakini uzi umetoka bomba.
Angalizo:: management yetu ya yanga sisi ndo wanunuzi sasa mkiendeleza kutuletea jezi kama hizi tena sie tunasema kabisa tutaanza kuvaa jezi za msimbazi View attachment 1566475