Minada ya Mtwara mjini

Minada ya Mtwara mjini

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Habari zenu wana Mtwara tafadhali anae fahamu kuhusu ratiba za minada ya Mtwara mjini tafadhali. Nitakapo kuwa Mtwara nitautumia muda huo kuzunguka kwenye minada yote ya Mtwara kwa ajili ya ku interact na wana Mtwara.

With much thanks in advance
 
Mnada wa mbuzi hapo.! Fika nkanaledi pale wanauza nguo kuanzia saa tano asubuhi. Fika tangazo wanafanya mnada kwa mwezi mara moja.!

Nenda msimbati kale samaki mpaka basi mana kule samaki kilo 4000 wakati mnauziwa hapo shekilango kila 12,000
 
Kumbe mara moja tu kwa mwezi. Dah.

Vipi PR za mtaani uswahilini huwa zinajaza watu ?
 
Habari zenu wana Mtwara tafadhali anae fahamu kuhusu ratiba za minada ya Mtwara mjini tafadhali. Nitakapo kuwa Mtwara nitautumia muda huo kuzunguka kwenye minada yote ya Mtwara kwa ajili ya ku interact na wana Mtwara.

With much thanks in advance
Safari njema.
 
Yaan LIKUD na Mtwara,, noumah sana.. Mimi naingia huko Mwezi July wewe unaenda lini tukutane..?
 
Mnada unakuwa kila baada ya miezi sita. Unapata magari ya japan na ulaya (German na Uk)
 
Back
Top Bottom