Mind Illusion Projection: Jinsi ya kuidanganya mind ione vitu visivyo halisi kua ni halisi

Habari zenu wadau wa maarifa,kwanza mkuu hongera kwa mada fikirishi kama hii_ukweli ni kwamba kuna elimu kubwa sana ambayo wenzetu WAZUNGU(whites) wanatuficha ili waendelee kututawala!!!! I wish kama watu weusi hasa sisi watanzania tungejifunza elimu nyingi za dunia hii ili TUJIOKOE na TUJISAIDIE wenyewe katika kuboresha namna tunavyoishi[emoji848]!!!!Hongera tena mkuu na usichoke kutuletea maarifa adimu kama haya tena na tena...
 
Thanks for compliments mate.
Lakini pia nikusahihishe kwamba wazungu hawatufichi kitu kila kitu kipo wazi. Ila kutokana na nature yetu waafrika hatupendi kuweka kumbukumbu ya vitu vyetu pia hatupendi kujisomea mambo ya msingi tena kwa lugha isiyo yetu. Tunapenda taarifa za umbea na na zisizo na msingi sana katika kutuongezea maarifa vichwani mwetu ndio maana kila kitu tunaona tumefichwa kumbe kiuhalisia hatukufichwa bali tu hatukutafuta hayo maarifa.

Wanachofanya wanatuletea yale tunayopenda kama Tiktok na instagram ili tuzame zaid tusiende kuchimba mambo ya maana ambayo kimsingi yapo wazi kabisa!
 
Fanya mpango sasa wa karo mkuu niandae Syllabus, maana nikuhamisha tu toka kichwani
 
Umefanikiwa kugundua mkuu,mimi pia tokea udogo wangu jicho la kushoto linaona zaidi kuliko la kulia,yani huwa nawaza hili la kushoto likiishiwa nguvu sijui itakuwaje,kwani hata miwani yangu inapotengenezwa wana base kufavour hili la kushoto.Sioni tofauti katika hali ya kawaida ila nikiliziba kwa mkono ndio nagundua la kulia halioni vizuri...
 
Mkuu tupo pamoja na nakuelewa, natamani sana hawa wenye maarifa wanipe na mimi, najua wana hofu na usalama wao ndo maana hizi hidden knowledge was kept secret only for the few...the majority will remaine to be slaves..
 
Upande wangu hua natemmbelea mguu wa kushoto na kupiga kitu hupigia mguu wa kushoto. Hua nalala ubavu wa kushoto hata sikio lilipo active zaidi ni kushoto ila mkono siwezi kuutumia kushoto.

Nadhani kuna sababu ya kisayansi kwanini jicho la kushoto kwamgu ndio linaona zaidi kuliko lingine. Hata nikifumba kushoto nakuasioni Vizuri kama nikifumba kulia
 
Mkuu tupo pamoja na nakuelewa, natamani sana hawa wenye maarifa wanipe na mimi, najua wana hofu na usalama wao ndo maana hizi hidden knowledge was kept secret only for the few...the majority will remaine to be slaves..
Pamoja sana kiongozi. Ukifungua acc yangu nimeongelea mada nyingi sana kuhusu mambo haya na matumizi ya Mind. Wewe tu ushindwe kusoma
 
Mkuu naomba elimu kuhusu Dissonance. What's ut??
Dissonance tuna culture dissonance na pia cognitive dissonance

For culture dissonance cultural is a sense of , confusion, or conflict experienced by people in the midst of change in their cultural environment Mfano mambo ya LGBTQ kuanza Kuja huku Kuna wengine wanayakubali ingawa sio Wana LGBTQ na wengine wanayakataa na wanawaona Hawa wanaokubali kwamba Hawa watu wa LGBTQ wao pia ni wale wale

Au Mfano rahisi haikua rahisi Wanawake kucheza mchezo wa mpira wa miguu au Wanawake kutawala it's a culture dissonance

For a cognitive dissonance ni pale mtu Ana perform vitu ambavyo vinaenda against the person feelings, ideas, beliefs, values anakua anashindwa afanye aje Ani two psychological ideas zinakua inconsistent to each other
 
Lost in translation. Sijaelewa bado
 
Much obliged sir πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
Concious mind takes only 10% of your mind..and 90% is UNCONCIOUS MIND.
Behavior zote ambazo unaziproject zinadepend na hicho kilichomo kwenye UNCONCIOUS MIND.

Ndo maana watu huumwa Anxiety ama Depression,,means UNCONCIOUS MIND has take a full control,those repressed emotions in UNCONCIOUS MIND are bubbling up to to the concious mind...

Kutokana na ignorance, concious mind tend to fight those repressed emotions from UNCONCIOUS MIND badala ya ku allow them,then they release...hapo ndipo Anxiety hutokea
 
It appears upo vizuri kwenye masuala ya Saikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…