Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks for compliments mate.Habari zenu wadau wa maarifa,kwanza mkuu hongera kwa mada fikirishi kama hii_ukweli ni kwamba kuna elimu kubwa sana ambayo wenzetu WAZUNGU(whites) wanatuficha ili waendelee kututawala!!!! I wish kama watu weusi hasa sisi watanzania tungejifunza elimu nyingi za dunia hii ili TUJIOKOE na TUJISAIDIE wenyewe katika kuboresha namna tunavyoishi[emoji848]!!!!Hongera tena mkuu na usichoke kutuletea maarifa adimu kama haya tena na tena...
Fanya mpango sasa wa karo mkuu niandae Syllabus, maana nikuhamisha tu toka kichwaniMkuu nashukuru sana.yaani unaweza ukanifundisha ama ukawa mentor wangu ya brain yangu. Mana Kuna vitu nafanya afu huwa najisomea hivi vitu. So naona kwako Kuna mwanga pia naupata..
Kiukweli huwa Kuna mwingiliano wa sayansi Kama umeisoma,dini,uchawi mkuu.
Yanai ivi vitu huwa Kuna sehemu vinaingiliana.
Iyo power of Subconscious mind huwa najisomea kitabu Cha Napoleon Hill.
Pia power of positive thinking,power of now,powerof attitude, as man thinketh so he is,
Kwenye maandiko wanadai kuwa makini na mawazo yako Mana maisha yangu yanachongwa kulingana na unavyowaza.
Pia unapoumwa unaufikiria ugonjwa Ina Mana ndo unaupa nguvu zaidi,Sasa haitakiwi kuuwaza,
Pia huwa smt naenda kwa waganga wa kienyeji Ila ni kukusanya elimu.
Kuna bibi mmoja aliniambiaga mjukuu wangu ukiwa unaenda kufanya Jambo kuwa na akili moja tu kuwa utafanikiwa.
Pia Kuna Siri haipo kwa biblia kuwa nu namna gani tunatakiwa tuombe.
Kuna channel huwa naifutilia YouTube ya your universe,power of attraction
Umefanikiwa kugundua mkuu,mimi pia tokea udogo wangu jicho la kushoto linaona zaidi kuliko la kulia,yani huwa nawaza hili la kushoto likiishiwa nguvu sijui itakuwaje,kwani hata miwani yangu inapotengenezwa wana base kufavour hili la kushoto.Sioni tofauti katika hali ya kawaida ila nikiliziba kwa mkono ndio nagundua la kulia halioni vizuri...Moja ya mfano wa ubongo kuonyesha illusion ni pua lako.
Ukiwa unaangalia kawaida huwezi kuliona pua mpaka utulie uangalie kwa umakini ndio utaliona. Kwanini? Macho yanaliona pua ila Mind yako inalipuuza (ignoring) pua lako ili lisikuzibe kuona mbele yako.. hii inasaidia watu wenye mapua makubwa tuone vizuri, Kwa umbali uliopo Kati ya pua na Macho na pua lilivyokaa basi tusingewez kuona mbele.
So akili hupuuza tu kuliona pua lako na sio kwamba halionekani na macho.
Kitu hiki kinafanyika tena Kwenye Miwani na Darubini
Ukivaa miwani ule mstari unaotenganisha kioo kimoja na kingine huwezi kuuona unakua kama haupo ila upo bali Mind yako ina Ignore hiyo mistari ili uone vizuri sio kuona vipande vipande.
Bado nachunguza kwanini jicho langu la kushoto ndio liko active sana kuliko la kulia!
[Mimi nikivaa miwani natumia jicho la kushoto kuona ]
Mkuu tupo pamoja na nakuelewa, natamani sana hawa wenye maarifa wanipe na mimi, najua wana hofu na usalama wao ndo maana hizi hidden knowledge was kept secret only for the few...the majority will remaine to be slaves..Salute mate;
Wanasemaga kwamba many of our battles we fight don’t exist, we make them exist because we create our own Demons. Kwamba mambo mengi yasiyo kawaida tunayoyaona hua sio halisi ila ni sisi tunayafanya yawe halisi, mfano unaweza kua unatembea njiani usiku ukaanza kuona mti Fulani umekaa kama mtu, unaweza kua ulitundika koti lako chumbani baadae usiku ukaanza kuona kama mtu kasimama chumbani kumbe ni koti lako…yote hayao yanatokea kwasababu unakua umeruhusu hofu ikitawale, hofu ikishakuingia basi unaweza kuona chochote kile unachotaka kuona hata kama ni vitu ndani utaona vinatembea kumbe sio kweli. Hapo ndio tunasema we create our own Demons.
Mitaani kumekua na visa mbalimbali mfano ulishawihi kukutana na kitu kireefu imevaa nguo nyeupe ukatoka mbio balaa kila unapokimbia unakikuta mbele yako , au ushawahi kukutana na ng’ombe wa mguu mmoja akakukimbiza au kitu chochote kisichokua cha kawaida chenye kuhusiana na uchawi au kusikia watu wakihadthia matukio ya namna hiyo. Kuna wale wanaoenda kutafuta pesa za ndagu wanaambiwa saa nane ya usiku nenda sehemu Fulani chochote utakachokiona usikimbie wala usikikwepe, mara anatokea simba anataka kukurukia au inatokea treni iko speed kali inatakiwa usiipishe. Ajabu ni kwamba ukikutana na kitu kirefu cheupe ukikipita mkono wa kushoto (?) kitu hicho hakikudhuru au usipoipisha hio treni haikudhuru…..Ukweli ni kwamba kupita upande wa kushoto wa kitu hicho kirefu hausaidii lolote wewe kushambuliwa na kitu hicho, vitu vyote nilivyoorodhesha hapo vinapokutokea hua sio halisi they are just an illusions. Usipokimbia kitu hicho unakua umedhibiti hofu ndani ya roho yako wachawi wanatumia hofu yako kukuHaunt.
Wachawi wote duniani wanapenda kuogopewa they feed up from your fear, unapomuhofu mchawi basi unakua umemuongezea nguvu ya kukuwinda pindi unapoacha kumuogopa tu basi hata kusumbua tena kuna mstari mmoja Jose mtabmbo anaimba kwamba “unaniwangia mimi nimelala, utajijua si wewe ndio unakesha” nachomaanisha ni kwamba unapokutana na kitu kisicho cha kawaida ukawaeza kudhibiti hofu yako ukaacha kukimbia basi kitu kile hakitakudhuru maana utakua hujaonyesha hofu since vitu hivyo tunavyokutana navyo hua sio halisi ni kwamba Mind yetu inakua imelazimishwa kuona vitu hivyo ni halisi ila behind the curtain unakuta ni hakuna kitu hicho au ni mtu wa kawaida kasimama.
Reality and Conscious mind.
By default wanauwezo wa kutengeneza vitu visivyo halisi kuwa kama halisi yaani Illusions projection au reality manipulation yaanii anaweza kutengeneza kitu kwa kutumia uwezo wake huo ukaona labda ukuta sehemu lakini sio ukuta sio halisi, lakini illusions hizo zinaweza kuwa na maadhara kwenye maisha halisi ya mwanadamu mfano mtu kaonyesha barabarani pale hakuna gari kumbe kuna gari wewe ukavuka likakukupitia. Kuna wakati mtu anaweza kua kafariki lakini mtu huyo hajafa kiuhalisia kama tunavyoona bali kachukuliwa kimazingira na kuhamishwa dimension nyingine, pale msibani sisi tunabaki tunaona mtu ndio tumemzika kumbe tumezika kipande cha mgomba au chochote kile
Jinsi kuishawishi Mind ya mtu ione kitu hichi ni halisi wakiti sio halisi
Soul imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Mind,Impression na Intellect..Mind imegawanyika katika pande tatu ambazo ni Conscious mind, Unconscious mind na Subconscious Mind. Conscious mind ni sehemu ya Mind ambayo inahusika na kushughulikia yale mambo yote ambayo tunayafahamu either kwa kuona,kusikia au kuhisia, kiufupi Conscious mind inashughulikia yale ambayo yapo katika utambuzi/ufahamu wetu. Ndio maana wewe mwanadamu wa kawaida huwezi kuwaza nje ya vile vitu unavyofahamu kama unabisha jaribu kuwaza kitu ambacho hakipo au hakina ufanano na kitu ulichowahi kuona au kusikia… Conscious mind inajihusisha na memories,perception,feeling, sensation na fantasies zilizomo ndani ya utambuzi wetu, Conscious mind hua inashirikiana na Subconcious mind hivyo basi hua zinataka kufanana maana au ufanyaji wa kazi so chunga zisikuchanganye.
Conscious mind ndio sehemu ambayo mwanadamu hufikiria au ni sehemu ambayo mwandamu anaitumia kuwaza mambo mbalimbali…Kwenye masuala ya Computer, Data buffer ni sehemu ambapo vitu hua vinahifadhiwa kwa muda mfupi wakati vitu hivyo vikiwa vinaendelea kutolewa au kuchakatwa (processing) kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwa mfano unapoingiza sauti kwenye computer kwa kutumia maiki sauti hiyo inaenda hadi kwenye data buffer kwa muda kisha inaenda kwenye CPU then inatolewa nje as Output wakati huo huo kuna sauti zinaingizwa kwenye computer na mtumiaji kwa kutumia maiki. Sasa ili kutekeleza jambo hilo Data buffer inakua imeweewa alogarithim iitwayo FIFO (First In First Out) ambapo data zile zinazoingia kwenye Data Buffer zitaanza kuchakatwa kisha zitatolewa nje kisha ndio zije nyingine.
NB: Data Buffer unaweza kuiita kwa lugha rahis Random Acess Memory (RAM)
kwenye mada yangu moja iliyopita nileeleza kwamba Subconcious mind ndio sehemu ya utanzaji wa kumbuku za kila kitu unachoona na kukifanya maishani mwako nikaifananisha na Data Cache and Cockies … Sasa basi kwenye Conscious mind kunafanya kazi kama kwenye Computer, kwakua ndio sehemu inayohusika na kuwaza/kufikiri yenyewe hua haitunzi kumbukumbu ya kile inachokifanyia kazi na yenyewe ina tumia huo mfumo wa FIFO wazo litakaloanza kuingia ndio hilo litakalofanyiwa kazi taarifa ya wazo hilo itapelekwa kwenye Subconscious mind kuhifadhiwa lakini pia Conscious mind inauwezo wa kuchakata data moja tu kwa wakati mmoja tu.Conscious mind inachukua taarifa mbalimbali kwa kutumia kuona,kusikia, kunusa,kuhisi,kugusa au kuonja. Conscious mind inakusanya na kuchambua kila kinachoendelea kwenye mazingira yako na kukichambua kwa njia hiyo ya FIFO kama kuna kitu inataka kukiwaza ila kilishawahi fanyiwa kazi basi Conscious mind itaResquest kwenye sotorage centre kitu hicho yaani kwa Subconcious mind
Blending In…..
Sasa basi mtu anapotaka kufanya watu wengine waone vitu visivyohalisi (illusion) kwamba ni halisi (Real) anachofanya anaingilia mfumo wa Conscious mind kuchakata taarifa , ataidanganya (Convincing) Conscious mind kwa kupitia mfumo wa macho yanayoona kwamba mkono huu nimeshika noti ya shilingi elfu kumi kwa hivyo basi Conscious mind ikiwa inaprocess macho yainachokiona inashindwa kutafsiri kile kilichopo kwakua mfumo wake wa utendaji umevamiwa hivyo Conscious mind itaenda kuomba kwenye Subconscious mind (data bank ya mwanadamu) kuleta taarifa iilyohifadhiwa ihusiyo noti hiyo ya elfu kumi…hapo sasa ndio mtu ataanza kuona mtu mrefu kasimama mbele yake kumbe sio, ataona ile ni nyoka kumbe sio.
Sasa basi kwakua kila kitu kinachofanyika kinakua kina chanzo chake basi uwezo wa mtu kuProject illusion kwa wengine unaweza kusababishwa na nguvu chanya (ungu) au nguvu hasi (shetani) kuna watu Mungu kawajalia tu uwezo wa kuweza KuConvice mind za wengine waone vitu Fulani ambavyo sio halisi. Uwezo huo hakuwapa kwa ajili ya kuwafurahisha tu bali kwa kusudi maalumu analolijua yeye as always Mungu akikupatia kitu maamuzi na utashi wa kukitumia yanabaki juu yako, kama kakupa uwezo wa kuimba uamuzi ni wako uimbe matusi au uimbe nyimbo za ujumbe kwa jamii ama umsifu yeye na kila chaguzi lako linamatokeo yake – and + kwenye biblia kumenukuliwa baadhi ya watumishi wa Mungu walivyoProject illusion mbalimbali kwa matakwa ya Mungu na zingine zilitengenezwa na Mungu mwenyewe………Vilevile Shetani hutoa pia uwezo wa kutengeneza illusion kwa watu wake wanaomfuta kumuomba hizo nguvu ndio pale sasa unatembea usiku unakutana jogoo mkubwa kama mbuzi au unakutana na ziwa sehemu ambayo unapitaga kila siku, ulishawahi kusikia kwamba mtu Fulani mapolisi wakienda kumkamata kwake usiku wanakuta pale kwenye nyumba kuna bonge la msitu hizo ndio illusion projection sasa ambazo shetani amekua akiwapatia wafuasi wake kutudanganya.
Infinity Multiverse, infinity Dangers
Ukiuliza viongozi wa wa kikatoliki dini uchawi ni nini? Watakuambia kwamba uchawi ni teknolojia isiyoendelea (stagnant) ambayo lengo lake ni kuleta matokeo hasi kwenye jamii, ukiona kiongozi wako wa dini yoyote anapinga uwepo wa uchawi basi kiongozi huyu inawezekana kabisa haamini uwepo wa Mungu maana learning of infinite-postive multiverse include learning of negative infinity dangers. Nikimaanisha kwamba unapojifunza uwepo wa Mungu na ukuu wake lazima ujifunze uwepo wa nguvu za giza/uchawi zinazokinzana na nguvu chanya ili ujue jinsi ya kupambana nazo kwa kutumia nguvu chanya/Mungu. Kipindi cha Middle Age –Dark ages barani ulaya kulikua kumefurika uchawi na mambo mengi ya kutishia ustawi wa mbegu halisi ya mwanadamu, RC kwakua wanafahamu mambo niliyoeleza hapo juu waliunda vikosi kazi vilivyoundwaa na makasisi mbalimbali ili kupambana na watu wenye nguvu hizo hasi…..Maishani kila kitu kipo katika mzani ulio sawa (Equilibrium) kila unachokiiona au kukisikia basi kina pande kinzani yake mfano uhai upo balanced na kifo Mungu counterpart wake ni Shetani hivyo pindi tu utakapo muamini Mungu/Shetani basi unaamini na uwepo wa shetani/shetani na nguvu zake hivyo lazima ujue jinsi ya kushindana nae..
Binafsi hua nasema kwamba Physics ni tawi la uchawi ambalo linajishughlisha na kuchukua mambo yale yanayofanywa na wachawi na kuyaweka katika teknolojia, kipindi hicho (dark ages)kabla ndege hazijavumbuliwa watu walikua wanaruka na fagio angani sisi kwetu tunatumia ungo ila baada tu ya industrialization mambo yote ya kichawi yalipigwa marufuku watu wakawekeza kwenye teknolojia zaidi ila elimu hawakuitupa wanaenda wanaitumia kupata ideas mbalimbali kisha kuvumbua teknolojia yao. Karibia kila kitu kinachofanyika kwenye masuala yahusiuyo physics basi yapo pia kwenye uchawi no wonder wakati Galei Galileo alipokuwa anawasilisha hoja yake ya sayari mbele ya viongozi wa kanisa wazebaba waliona anazungumzia uchawi mimi hadi theories za Copernicus hua naziona zimekaa kichawi chawi tu……huko juu tumezungumzia jinsiwachawi na watu wa kawaida wanaweza kuproject illusion sasa na huku kwenye masuala ya teknolojia Illusion zinatengenezwa vizuri tu.
Holography ni mfumo unaowezesha mawimbi (wavefront )kurekodiwa ,kutengenezwa na kuonyeshwa tena katika picha zenye mfumo wa 3D, mbali na kurekodiwa mtu mwenye ujuzi anaweza kutengeneza Hologram kwa kutumia Computer Genarated Image. Mtu mwenye ujuzi wa holography anaweza kutengeneza kitu chochote atakachwa kwa kutumia Computer kisha akakiproject kwa projectors maalumu. Mtu anaweza kutengeneza hata mazingira unaona hapa kunanyumba zipo hivi na hivi ila kiuhalisia hakuna kitu kama hicho it’s just an illusion. Technology its so interesting kwakweli unaweza kudhani hapa tunapigiana hadithi za uongo ila ni vitu vipo sema tu sio kwa ajili ya matumizi ya kawaida kumbuka kila teknolojia unayoiona basi ujue chanzo chake cha kuundwa ni ili ikatumike jeshini/ajili ya kulinda usalama wa watu. Ssi tunaletewa hizi teknolojia ndogondogo tu ili tufurahie na kuboresha maisha tu , ndio maana mtu akikuambia kwamba unaweza kufungua njia ukatokezea kijijini kwenu utaona ni uongo ila wachawi wanafanya sana.
Jiulize tu mtu mchawi anawezaje kupotea chap akatokezea chumbani kwa mtu au mkoa mwingine its simple they jus opening portal/gateway na kutokezea upande mwingine kiuchawi inawezekane nikisema kwa kutumia physics inawezekana pia mtanibishia kama mnavyobishia Time Travelling.
Tuishie hapo, panapo majaliwa ten…
Da’Vinci
-excelsior
Upande wangu hua natemmbelea mguu wa kushoto na kupiga kitu hupigia mguu wa kushoto. Hua nalala ubavu wa kushoto hata sikio lilipo active zaidi ni kushoto ila mkono siwezi kuutumia kushoto.Umefanikiwa kugundua mkuu,mimi pia tokea udogo wangu jicho la kushoto linaona zaidi kuliko la kulia,yani huwa nawaza hili la kushoto likiishiwa nguvu sijui itakuwaje,kwani hata miwani yangu inapotengenezwa wana base kufavour hili la kushoto.Sioni tofauti katika hali ya kawaida ila nikiliziba kwa mkono ndio nagundua la kulia halioni vizuri...
Pamoja sana kiongozi. Ukifungua acc yangu nimeongelea mada nyingi sana kuhusu mambo haya na matumizi ya Mind. Wewe tu ushindwe kusomaMkuu tupo pamoja na nakuelewa, natamani sana hawa wenye maarifa wanipe na mimi, najua wana hofu na usalama wao ndo maana hizi hidden knowledge was kept secret only for the few...the majority will remaine to be slaves..
[emoji4]Cognitive illusion
Dissonance tuna culture dissonance na pia cognitive dissonanceMkuu naomba elimu kuhusu Dissonance. What's ut??
Lost in translation. Sijaelewa badoDissonance tuna culture dissonance na pia cognitive dissonance
For culture dissonance cultural is a sense of , confusion, or conflict experienced by people in the midst of change in their cultural environment Mfano mambo ya LGBTQ kuanza Kuja huku Kuna wengine wanayakubali ingawa sio Wana LGBTQ na wengine wanayakataa na wanawaona Hawa wanaokubali kwamba Hawa watu wa LGBTQ wao pia ni wale wale
Au Mfano rahisi haikua rahisi Wanawake kucheza mchezo wa mpira wa miguu au Wanawake kutawala it's a culture dissonance
For a cognitive dissonance ni pale mtu Ana perform vitu ambavyo vinaenda against the person feelings, ideas, beliefs, values anakua anashindwa afanye aje Ani two psychological ideas zinakua inconsistent to each other
Duuh nahisi nmetumia lugha rahisi Sana and they are not even complex wordsLost in translation. Sijaelewa bado
Concious mind takes only 10% of your mind..and 90% is UNCONCIOUS MIND.Much obliged sir 👊👊👊
It appears upo vizuri kwenye masuala ya SaikolojiaConcious mind takes only 10% of your mind..and 90% is UNCONCIOUS MIND.
Behavior zote ambazo unaziproject zinadepend na hicho kilichomo kwenye UNCONCIOUS MIND.
Ndo maana watu huumwa Anxiety ama Depression,,means UNCONCIOUS MIND has take a full control,those repressed emotions in UNCONCIOUS MIND are bubbling up to to the concious mind...
Kutokana na ignorance, concious mind tend to fight those repressed emotions from UNCONCIOUS MIND badala ya ku allow them,then they release...hapo ndipo Anxiety hutokea