Mind Illusion Projection: Jinsi ya kuidanganya mind ione vitu visivyo halisi kua ni halisi

Haya mambo si watu wengi wanayajua ndio maana tunashindwa kustahimili shida ndogo tu unakimblia kwa waganga .Unajua Mwenyezi Mungu katuumba hivi hakuna kitu permenent kwa mfano umezoweya kitu fulani siku ukikikosa unaanza kujiuliza ilikuwaje mbona hivi unaanza kubabaika matokeo yake unasema umerogwa ,kumbe ndio maisha yenyewe yalivyo kila kitu ni temporary tu.
 
Nina maswali mkuu:
1.Huo uwezo wa kuproject illusion kwa dunia ya sasa wapo waliobarikiwa na Mungu uwezo huo?

2.Endapo ukiondoa fear baada ya kuona hivyo vitu ambavyo si vitu halisi kwamba wachawi hawatoweza kukuzuru?

3.Have u ever experienced?

4.Hawa viumbe wa kuitwa majini wana uhusiano na project illusion?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina maswali mkuu:
1.Huo uwezo wa kuproject illusion kwa dunia ya sasa wapo waliobarikiwa na Mungu uwezo huo?
Ndio. Wapo waliopewa uwezo huo kwa sababu maalumu
2.Endapo ukiondoa fear baada ya kuona hivyo vitu ambavyo si vitu halisi kwamba wachawi hawatoweza kukuzuru?
Kwa vile tunavyokutana navyo njiani hua ni illusion haviwezi kukudhuru. Mtu mchawi ukimpiga mkwara mzito hata kusumbua tena nina uhakika na hilo.

3.Have u ever experienced?
Yes.
4.Hawa viumbe wa kuitwa majini wana uhusiano na project illusion?

Sent using Jamii Forums mobile app
Not a project. Uwezo wa kuonyesha vitu visivyo halisi ndio unaitwa Illusion Projection
Project = Noun
Projection = Verb

Dark creatures kama majini wana uwezo wa kuproject since they draw their power from dark /negative force
 
Aisee!!!! Vp unaongelea vitu vya kimazingaombwe au vitu halisia.. mfano kuona mtu anavichwa kumi(mazingaombwe) au kulala ndani asubuhi unajikuta juu ya miti kiuhalisia kabisa.
 
Ukikaa kwa utulivu kujitafuta..

Kuna ukweli ndani yake..ndio maana kuna sauti ya ndani kabisa unaweza isikia kukwambia au kukuliza au kushauri.

Shida ni mara nyingi huwa hatuisikilizi...mpaka baadae ushavaba ndio unakuja kukumbuka!
Yeaah kweli kabisa.. Inner voice is always speak to us
 
Naendelea kujifunza mengi kupitia thread zako barikiwa mkuu
 
Hapo kwenye ku master ability of manipulating probability and lucky, ulishawahi kutumia huu uwezo kwenye michezo ya bahati nasibu na ndiyo tupe mrejesho.
 
Hapo kwenye ku master ability of manipulating probability and lucky, ulishawahi kutumia huu uwezo kwenye michezo ya bahati nasibu na ndiyo tupe mrejesho.
Sijawahi shiriki michezo hiyo. Vitu tu navyohitaji kupata And they comes naturally without pushing them
 
Only a spirit can live eternity.. ukijifahamu basi huwezi shindwa lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…