Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kukitafakari hiki nilicho kiandika kwanza kisha kifate.Je nifuateje??
Same applied kwa sisi tuifatayo Nuru kama una upako wako/roho mtakatifu rohoni mwako ukianza tu kujikita kutafuta mali basi ule uwezo wako unaanza kuupoteza maana unakua umewekeza nguvu zaidi katika kutafuta mali za mwili na sio mali za roho yako. Kwa kulizingatia hilo ndio maana watawa wa kikatoliki hua hawajishikizi katika materials kama vile pesa,majumba,watoto,mke nk maana wanajua wakiruhusu hiyo itokee basi hakutakua kuna Integrity ya utume wao maana huwezi tumikia mabwana wawili.Anza kukitafakari hiki nilicho kiandika kwanza kisha kifate.
Maneno yako uliyo yaandika yanahitaji mada pweke kuyajidili sababu yana pingana na akilo iliyo salama kadhalila uhalisia.Same applied kwa sisi tuifatayo Nuru kama una upako wako/roho mtakatifu rohoni mwako ukianza tu kujikita kutafuta mali basi ule uwezo wako unaanza kuupoteza maana unakua umewekeza nguvu zaidi katika kutafuta mali za mwili na sio mali za roho yako. Kwa kulizingatia hilo ndio maana watawa wa kikatoliki hua hawajishikizi katika materials kama vile pesa,majumba,watoto,mke nk maana wanajua wakiruhusu hiyo itokee basi hakutakua kuna Integrity ya utume wao maana huwezi tumikia mabwana wawili.
Kweli kabisa wachawi wanatumia sana mbinu hiyo ya kiini macho. Unaona mnazika mtu kumbe mnazika mgomba. Ndio wanasema kua mtu mwenye macho yake manne ameona kua pale hawajazika mtu... Actually sio mtu ana macho manne au anauoni mzuri bali ni mtu ambae mind yake ipo strong enough kuziwia kua enchanted. Mtu anweza kua stronger in mind kwa uwezo wa giza au mwanga!Project illusion kwenye ajali
Kuna jamaa ambae alikuwa akitumiwa na wachawi aliwahi kueleza kwamba ajali jinsi inavyotokea au namna gani mtu anasababisha ajali
Alisema kinachofanyika pale ni kuamisha barabara na kuilekeza kwenye makolongo yaani dereva asiyekuwa na kinga Wala nguvu za kiroho huona barabara imenyooka Kumbe sivyo na kupelekea ajali mbaya Sana.
Me mwenyewe situation Kama hiyo imeshanikuta Sana nikiwa naendesha kamkweche kañgu kwenye lami, kwakweli usione mtu kasababisha ajali ukazani ni akili zake hapana bali project illution imetumika Kama mtoa mada alivyoeleza, waswahili huita kiini macho.
You take me for a fool, aren't you???Maneno yako uliyo yaandika yanahitaji mada pweke kuyajidili sababu yana pingana na akilo iliyo salama kadhalila uhalisia.
Ninachokijua mimi ni kuwa katika watu walio haribu imani (dini) ni WATAWA. Sababu wamejiharamishia yale aliyo halalisha Mola muumba. Hili linataka kutafakari. Si kweli watoto,wake au mali vina sifa hiyo pekee,kwani unaweza kuvitumia hivyo ukaipata pepo ya muumba.
Kadhalika umetumia tamko "utume" sijaelewa umelitumia kilugha au kiistilahi (kisheria) kama kisheria hakuna mtume wala nabii katika uso huu ardhi,kwanza ukizingatia maana ya tamko hilo pili ukiangalia uhalisia wa mambo.
Inabidi upate muda uwe unatafakari kwa kina unachokiamini,siyo unaamini tu.
Tafakari utabaini ukweli.You take me for a fool, aren't you???
Sometime uwe unanitag basi.Not that real mate.. Napenda tu kushea nanyi yale niyafikiriyo
No question! I'm always delighted when reading ur articles.It's great!Ooh sorry. Next time nitakua nakualika basi kwenye mada.
Thanks for noticing me.
-any Qns so far?? I'll gladly to answer your question
Pamoja sana Kiongozi, thinking is the only thing I can splendid do. Furaha yangu ni kuona watu wamependa na kuelewa mawazo yanguDa'Vinci
Even for me, i appreciate this man. He know how to write unthinkable issue to become thinkable issue.
Mpaka uwe na jina mjini ndio unaweza kupata hizo more credit. I'm nobody here