Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za tiktok zitakufanya ufurahi
Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona kuna vijana wengi wa kiume kundi kubwa la vijana sura zao ni nyororo mno pigo zao zinatia utata kujilamba lips
Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona kuna vijana wengi wa kiume kundi kubwa la vijana sura zao ni nyororo mno pigo zao zinatia utata kujilamba lips