Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Mwanaume kitendo cha ku download huo mtandao tayari ushaushusha uwanaume wakoHuu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za tiktok zitakufanya ufurahi
Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona kuna vijana wengi wa kiume kundi kubwa la vijana sura zao ni nyororo mno pigo zao zinatia utata kujilamba lips
Kijana kutoka Southern Highlands Iringa Ngome ya Mtwa ameenda uko kutafuta nini?Umekwenda kufanya nini mtoto wa kiume tiktok
Umemuona Uchebe lkn jamaaa anacheza afu anageuka anatikisa kalio dah nchi ngumu hii[emoji23][emoji23]Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za tiktok zitakufanya ufurahi
Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona kuna vijana wengi wa kiume kundi kubwa la vijana sura zao ni nyororo mno pigo zao zinatia utata kujilamba lips
Sikuwa na chakufanya siku hii ya leo wakati naandika uzi huu na ndio muda nilikuwa natoka kuanstall appUmekwenda kufanya nini mtoto wa kiume tiktok
Kuanstall app Ni kufanya nini mkuu?Sikuwa na chakufanya siku hii ya leo wakati naandika uzi huu na ndio muda nilikuwa natoka kuanstall app
Anatikisa kishundu. Ila Shilole ana cha kujibu kwa Mungu, kumtoa ustaadh wa watu gereji na kumfanya awe mtu mitandao. Leo Uchebe anapiga picha akiwa chumba cha hotel anakata viuno kutoka kutoa aya za Q'uran🤣🤣🤣Umemuona Uchebe lkn jamaaa anacheza afu anageuka anatikisa kalio dah nchi ngumu hii[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Chebe wa shilole ?Umemuona Uchebe lkn jamaaa anacheza afu anageuka anatikisa kalio dah nchi ngumu hii[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemuona Uchebe lkn jamaaa anacheza afu anageuka anatikisa kalio dah nchi ngumu hii[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan tiktok ina jinsia?Wakiume tiktok wafanya Nini..!!?[emoji848]