Pre GE2025 Miongoni mwa kosa kubwa watakalolifanya CCM ni kumpitisha Samia Hassan kuwa mgombea wa urais

Pre GE2025 Miongoni mwa kosa kubwa watakalolifanya CCM ni kumpitisha Samia Hassan kuwa mgombea wa urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.

Tangu akalie kiti cha urais, kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.

Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu. Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.

CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.

Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
 
Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.

Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.

Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.

CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.

Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
CCM imelaaniwa kwa damu za watu wasio na hatia.
 
Mbona kafanya mkuu.

Kukabidhi bandari kwa waarabu,kwa uwekezaji mkubwa.

Tozo kwenye miamala ya simu,kuboresha mfuko wa taifa.

Uzinduzi wa filamu ya kutangaza vivutio vyetu.

Tamasha kubwa la kizimkazi

Kutoa pesa kwa kila goli la yanga na simba kwenye mechi za kimataifa ,hamasa kwenye soka.

Mchakato wa kuwahamisha wenyeji ngorongoro kwaajili ya uwekezaji mkubwa.
Huyu akibahatika kupita 2025 ZNZ itaneemeka sana wakati huku bara cha moto tutakiona
 
Huyu ndio CCM wanamtaka maana wanampelekesha tu bila ya yeye kujua .. Raisi hana maamuzi kabisa yaani kwa kawaida yake asingeweza kuvuruga mifumo kuna kundi linamuharibu .

Huyu atakuja kujuta atakapoondoka madarakani , wenzie ndio hao wanamuangushia jumba bovu la ishu za kutekana kwa vile anakosa washauri wenye uzalendo.
 
Back
Top Bottom