Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Lipi la maana ameshalifanya tangu apate bahati ya kuwa rais?Hamnaga jema walimwengu (wali + mwengu) Bora wali NYAMA kuliko wali mwengu..
CCM imelaaniwa kwa damu za watu wasio na hatia.Hili litakuwa ni kosa kubwa sana na hata kama watafanikiwa kushinda kiti cha urais basi itakuwa kwa mbinde sana tena kwa mabavu.
Tangu akalie kiti cha urais ,kwa haraka haraka hapo ulipo ukiambiwa ni kipi cha maana alichokifanya jibu ni hakuna.
Zaidi na zaidi ni kuineemesha Zanzibar kupitia mgongo wetu.
Mikopo kila kukicha cha ajabu pesa zinaelekezewa ZNZ na wanaolipa ni watanzania bara.
CCM wanachotakiwa kukifanya kama bado wanamuhitaji basi wamsimamishe kama makamo wa rais na nafasi ya kugombea urais wamchague mwengine.
Uchaguzi utakuwa mrahisi sana kwa wapinzani kama SSH atagombea kiti cha urais.
Huyu akibahatika kupita 2025 ZNZ itaneemeka sana wakati huku bara cha moto tutakionaMbona kafanya mkuu.
Kukabidhi bandari kwa waarabu,kwa uwekezaji mkubwa.
Tozo kwenye miamala ya simu,kuboresha mfuko wa taifa.
Uzinduzi wa filamu ya kutangaza vivutio vyetu.
Tamasha kubwa la kizimkazi
Kutoa pesa kwa kila goli la yanga na simba kwenye mechi za kimataifa ,hamasa kwenye soka.
Mchakato wa kuwahamisha wenyeji ngorongoro kwaajili ya uwekezaji mkubwa.
Hata Wewe? Leo ndio wa kusema hivi? HahahaahahhaaaahahaYule bibi ile kazi ya jikoni ndio anayoiweza
Chawa ametibuliwaHamnaga jema walimwengu (wali + mwengu) Bora wali NYAMA kuliko wali mwengu..
All in all,Lipi la maana ameshalifanya tangu apate bahati ya kuwa rais?
Huenda nikabadili mawazo, nitajie.
Mitazamo kinzani inapelekea kuitwa kila majina mabaya Mimi Sina CHAMA inshort.Chawa ametibuliwa
Ni mmoja wa wale watakao chukua fomu ya pili.Unataka wakupitishe wewe?