DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nimeona hilo swali kalijibu Zitto sasa sjui kama Itawezekana..Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali.
Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili?
Mfano;
Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za uraisi na ndio kikaunda serikali..
ila Bungeni CHADEMA ndio ikawa na idadi kubwa zaidi ya wabunge tuchukulie Mfano Chadema ikawa na Wabunge 198 ACT 62 na vyama vingine 20 na Chama cha mapinduzi wakawa ina idadi ya wabunge 110..
kwa maana hiyo Chama cha CCM kitaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Au CHADEMA?
Hapo chama tawala ni Chama CHA MAPINDUZI au CHADEMA au CHADEMA na CCM kwa pamoja?
Cred..Thomas Kibwana..
Anhaa Lakini Sasa kama waziri Mkuu atakuwa Wa Upinzani Huoni ni hatari kwa chama kilichotoa RaisNimeona hilo swali kalijibu Zitto sasa sjui kama Itawezekana..
View attachment 2910914
Jibu ndiyo hiloHili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali.
Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili?
Mfano;
Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za uraisi na ndio kikaunda serikali..
ila Bungeni CHADEMA ndio ikawa na idadi kubwa zaidi ya wabunge tuchukulie Mfano Chadema ikawa na Wabunge 198 ACT 62 na vyama vingine 20 na Chama cha mapinduzi wakawa ina idadi ya wabunge 110..
kwa maana hiyo Chama cha CCM kitaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Au CHADEMA?
Hapo chama tawala ni Chama CHA MAPINDUZI au CHADEMA au CHADEMA na CCM kwa pamoja?
Cred..Thomas Kibwana..
Jibu liko wapi mkuu?Jibu ndiyo hilo
Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali.
Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili?
Mfano;
Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za uraisi na ndio kikaunda serikali..
ila Bungeni CHADEMA ndio ikawa na idadi kubwa zaidi ya wabunge tuchukulie Mfano Chadema ikawa na Wabunge 198 ACT 62 na vyama vingine 20 na Chama cha mapinduzi wakawa ina idadi ya wabunge 110..
kwa maana hiyo Chama cha CCM kitaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Au CHADEMA?
Hapo chama tawala ni Chama CHA MAPINDUZI au CHADEMA au CHADEMA na CCM kwa pamoja?
Cred..Thomas Kibwana..
Kuna kitu nime note, 2025 huenda chadema wakawa na wabunge wengi bungeni > ccm.Anhaa Lakini Sasa kama waziri Mkuu atakuwa Wa Upinzani Huoni ni hatari kwa chama kilichotoa Rais
Dr, hizi fikra ndio maana CCM hawaachii madaraka. Hatari gani?Anhaa Lakini Sasa kama waziri Mkuu atakuwa Wa Upinzani Huoni ni hatari kwa chama kilichotoa Rais
Yeah wabunge wa Upinzani watakuwa wengi..Kuna kitu nime note, 2025 huenda chadema wakawa na wabunge wengi bungeni > ccm.
Kenya Na zanzibar ni tofauti wao walitoa Makamu wa Pili wa Rais..Dr, hizi fikra ndio maana CCM hawaachii madaraka. Hatari gani?
Mbona tumeshuhudia serikali mseto hapahapa kwetu Zanzibar na Kenya na hakukuwa na hatari yoyote?
Wata rudi rudi ila sio kwa wingi kama 2015. Athari zilizotokana na serikali ya awamu ya tano kisiasa hazitoisha ndani ya kipindi hiki kifupi.Kuna kitu nime note, 2025 huenda chadema wakawa na wabunge wengi bungeni > ccm.
Siasa ya Chama Tawala Tunayo Tanzania tu..Chama tawala ni kile kilichoshinda u-Rais.
Chama chenye wabunge wengi, kitatoa Waziri Mkuu
Chama cha pili kwa kuwa na wabunge wengi kitaunda Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
Ila 2015 ulikuwa mwaka Bora Sana wakitaka Wapate Wabunge wengi sana kuliko Miaka yote nawashauri Watu wafuatao wawavute waende Upinzani..Wata rudi rudi ila sio kwa wingi kama 2015. Athari zilizotokana na serikali ya awamu ya tano kisiasa hazitoisha ndani ya kipindi hiki kifupi.
Sasa hivi ndio wamerudi kwenye kujitafuta, kurudisha chama kwa wananchi. Ni mchakato…
Kwa Tanzania, ukisema chama tawala maana yake ni chama alichotoka rais na siyo chama chenye Waziri Mkuu au wabunge wengi.Siasa ya Chama Tawala Tunayo Tanzania tu..
hata hivyo huoni kama Chama Tawala ni kile kinachoongoza kuwa na Wabunge na Rais pia?
Maana Kama chama cha Upinzani Kitatoa Waziri Mkuu huoni serkali Itakuwa ni Ya chama cha Upinzani..
Maana Rais itabidi Ashirikiane na Waziri Mkuu kuteua mawaziri wa Baraza na wengi watatoka Upinzani..
Kwahyo.serikali itakuwa ya upinzani Bunge la upinzani na Rais atakuwa chama Tawala?
Kutoka CCM sio kwa kuvutwa, ni kwa kukosa nafasi wakati upinzani kwenda CCM ni maslahi.Ila 2015 ulikuwa mwaka Bora Sana wakitaka Wapate Wabunge wengi sana kuliko Miaka yote nawashauri Watu wafuatao wawavute waende Upinzani..
A.Majaliwa
B.Ndugai
C.Bashe
Na ikiwezekana Bashe ndo awe mgombea Urais..
Nimewapa strategies hizo Bashe akisimama Na mama wanaweza kushinda
Inaonekana no hatari kwasababu chama Tawala kinawaambia wananchi Kila chaguzi kwamba mkichagua upinzani kutatokea vita!!Anhaa Lakini Sasa kama waziri Mkuu atakuwa Wa Upinzani Huoni ni hatari kwa chama kilichotoa Rais
Ok sasa Serikali yenye mawaziri Wa Upinzani itaitwa serkali ya chama Tawala au?Kwa Tanzania, ukisema chama tawala maana yake ni chama alichotoka rais na siyo chama chenye Waziri Mkuu au wabunge wengi.
Katiba inataka Waziri Mkuu atokane na chama chenye wabunge wengi, ila haimlazimishi rais kuunda serikali yenye mawaziri kutoka upinzani.