Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Sio kwa mujibu wa ufafanuzi uliotolewa. Inaelekea Katiba iliyopo inampa mamlaka Rais kuvunja bunge kama anaona litamkwamisha. Kwa mantiki hiyo halazimiki kufanya kazi nao wakati ana haki ya kuvunja Bunge na kuita uchaguzi mpya.Inaenda kuundwa serikali ya mseto, maana chama chenye Wabunge wengi kitaweza kuwa na Spika wa Bunge na Waziri Mkuu.
So ili Rais aweze kufanya kazi ni lazima aungane na chama chenye Wabunge wengi ili serikali iundwe na kufanya wajibu wake.
Ova
Amandla...