DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #21
Bashe kusimama na Lissu hawezi ila kusimama na Mama anaweza..Kutoka CCM sio kwa kuvutwa, ni kwa kukosa nafasi wakati upinzani kwenda CCM ni maslahi.
Mkuu huwezi kuwa serious, Bashe hata kusimama na Lissu hawezi ndio useme asimame na mama?
CCM wana uhaba wa viongozi wenye mvuto kwa sasa, Mama mwenyewe ni sababu ya dola tu lakini ndio hayohayo.
Mkuu Sikuwa na maanishi Hatari unayoisema wewe ya Vita au yoyote ile iliyofikiriwa..Inaonekana no hatari kwasababu chama Tawala kinawaambia wananchi Kila chaguzi kwamba mkichagua upinzani kutatokea vita!!
Aibu sana hii!!
Hakuna uhatari wore,Kwa mfano mbowe anaenda kuwa waziri mkuu au Lema hapo Kuna hatari gani !!?kama watu wenyewe hao wameshinda ikulu kila siku wakinywa chai ma kikwete na samiah Kwa nyakati tofauti!!?
Mimi ni mdau wa serikali mseto japo no mwanachama was chama Tawala najua itachochea maendeleo na kutokomeza ufisadi Kwa kiwango fulani!!
Nimesema rais halazimiki kuteua mawaziri wapinzani.Ok sasa Serikali yenye mawaziri Wa Upinzani itaitwa serkali ya chama Tawala au?
Halazimiki ila lazima ashauriane na waziri mkuu ambaye ni Waziri kutoka Upinzani?Nimesema rais halazimiki kuteua mawaziri wapinzani.
Ni msingi mkuu wa kuitwa chama tawala ni kushinda urais
Jambo Zuri Ila , kama ni mtumishi wa serikali Yan (mtumwa) , akaenda upande wa chadema itakula kwako.Yeah wabunge wa Upinzani watakuwa wengi..
NAtamani nijitose nichukue Jimbo langu
Ukweli ni kuwa kuna mengi ya kurekebishwa katika katiba iliyopo kama tungekuwa na uchaguzi huru na haki. Kama kwa mfano CCM ikashinda urais na Chadema ikawa na wabunge wengi na kuwa na Waziri Mkuu, kwa vyo vyote vile Rais atashindwa kuunda serikali anayoitaka. Hivyo kitakachotokea ni Rais kuvunja serikali na kuitishwa Uchaguzi Mkuu mpya vinginevyo Rais ataondolewa madarakani kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na kupelekea kuitishwa kwa Uchaguzi Mkuu mpya.Halazimiki ila lazima ashauriane na waziri mkuu ambaye ni Waziri kutoka Upinzani?
Kwahyo kitendo cha kushaurina na waziri mkuu ambaye sio wa chama chake huoni kama atalazimika?
View attachment 2911005
Just imagine CCM ikapata wabunge 50 halafu wote sio wasomi..Ukweli ni kuwa kuna mengi ya kurekebishwa katika katiba iliyopo kama tungekuwa na uchaguzi huru na haki. Kama kwa mfano CCM ikashinda urais na Chadema ikawa na wabunge wengi na kuwa na Waziri Mkuu, kwa vyo vyote vile Rais atashindwa kuunda serikali anayoitaka. Hivyo kitakachotokea ni Rais kuvunja serikali na kuitishwa Uchaguzi Mkuu mpya vinginevyo Rais ataondolewa madarakani kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na kupelekea kuitishwa kwa Uchaguzi Mkuu mpya.
Katiba Mpya ni muhimu sanaHii kitu ndiyo ccm hawataki kabisa kuiskia lakini ipo siku tu itakuwa hivyo!
Hiyo iko wazi,CCM kwa upande wa wabunge watapoteza sana,hivyo kupelekea kua na wabunge wachache(kwao CCM) na wengi(kwa CHADEMA).Kuna kitu nime note, 2025 huenda chadema wakawa na wabunge wengi bungeni > ccm.
Rais hawezi kutawala kama hana wabunge wa kutosha kwa kuwa hata ile bajeti ya Bunge la kwanza haiwezi kupitishwa! Sasa bila fedha Rais ataendesha vipi serikali?Just imagine CCM ikapata wabunge 50 halafu wote sio wasomi..
Ila wabunge wa Chadema na vyma vingine wakawa 290 huko na wengi ni wasomi itakuwaje?
Basi katiba Mpya ipitushwe Kabla ya 2025Rais hawezi kutawala kama hana wabunge wa kutosha kwa kuwa hata ile bajeti ya Bunge la kwanza haiwezi kupitishwa! Sasa bila fedha Rais ataendesha vipi serikali?
Kwa hii katiba ilivyo ya kipuuzi rais anaweza kuendesha nchi bila kusikiliza bunge. Yule mwenye maamuzi na vyombo vya Dola ndio muamuzi wa Kila kitu.Kenya Na zanzibar ni tofauti wao walitoa Makamu wa Pili wa Rais..
Kutoa Waziri Mkuu maana yake msimamizi wa Shughuli zote za serkali awe wa chama Pinzani vipi kama akipeleka hoja Ya kutokuwa na Imani na Rais Bungeni?
Unataka kuwaingiza mkenge hao wapinzani kama walivyoingia mkenge kwa Lowassa 2015? Hata hivyo hayo usemayo ni bure tu, maana kwa mazingira haya, Tanzania hakuna uchaguzi, Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura. Kwanini hao wanaccm unaowataja wasianzishe chama chao waje washinde uchaguzi?Ila 2015 ulikuwa mwaka Bora Sana wakitaka Wapate Wabunge wengi sana kuliko Miaka yote nawashauri Watu wafuatao wawavute waende Upinzani..
A.Majaliwa
B.Ndugai
C.Bashe
Na ikiwezekana Bashe ndo awe mgombea Urais..
Nimewapa strategies hizo Bashe akisimama Na mama wanaweza kushinda
Hivi unafahamu Kutokupitisha Bajeti Pekee Kunaweza kumfnya Rais Avunje Bunge Lote na uchaguzi urudiwe?Rais hawezi kutawala kama hana wabunge wa kutosha kwa kuwa hata ile bajeti ya Bunge la kwanza haiwezi kupitishwa! Sasa bila fedha Rais ataendesha vipi serikali?
Bashe Kwenye BBT kafanya Utapeli tu hakuna kingineMkuu DR Mambo Jambo unajua bashe alichokufanya kwenye BBT?
Ndivyo ilivyo! Kwa hiyo kama chama cha Rais kitakosa wabunge wa kutosha kupitisha bajeti, lazima serikali ivunjike!Hivi unafahamu Kutokupitisha Bajeti Pekee Kunaweza kumfnya Rais Avunje Bunge Lote na uchaguzi urudiwe?
Kwani Rais ndo anaandaa bajeti?Ndivyo ilivyo! Kwa hiyo kama chama cha Rais kitakosa wabunge wa kutosha kupitisha bajeti, lazima serikali ivunjike!
Unfortunately Rais anaruhusiwa kuvunja bunge na wakarudi kwenye uchaguzi. Since hakuna mbunge anaweza risk hilo ina maana watahamia CCM mara baada ya tu ya uchaguzi.Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali.
Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili?
Mfano;
Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za urais na ndio kikaunda serikali..
ila Bungeni CHADEMA ndio ikawa na idadi kubwa zaidi ya wabunge tuchukulie Mfano Chadema ikawa na Wabunge 198 ACT 62 na vyama vingine 20 na Chama cha mapinduzi wakawa ina idadi ya wabunge 110..
kwa maana hiyo Chama cha CCM kitaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni?
Au CHADEMA?
Hapo chama tawala ni Chama CHA MAPINDUZI au CHADEMA au CHADEMA na CCM kwa pamoja?
Cred..Thomas Kibwana..