Mipaka ya Chama Tawala na Ukomo wake, Vipi kuhusu kambi kuu ya Upinzani Bungeni

Nilikuwa nimeki OverLook hicho kipengele ni baada ya kukisoma tena Ni naomba kuthibitisha kuwa..

KWA KATIBA HII HAKUNA CHAMA CHA UPINZANI CHOCHOTE KITAKACHOCHUKUA NCHI HATA KAMA WAKIWEPO WOTE BUNGENI

 
Kwani Rais ndo anaandaa bajeti?
Bajeti inaandaliwa na wizara kutokea majumuishi ya chini ya kusector
Ni kweli Bajeti zinaandaliwa na wizara husika lakini inapofikia hatua ya kupelekwa bungeni ni Rais anapeleka. Kwa hiyo anayehojiwa na Bunge ni Rais na Bunge likiikataa bajeti ni kwamba limemkatalia Rais na kuonyesha kutokuwa na imani naye. Hivyo Rais analazimika kuvunja Bunge na si hiari.
 
Soma post #41
 
Halazimiki ila lazima ashauriane na waziri mkuu ambaye ni Waziri kutoka Upinzani?
Kwahyo kitendo cha kushaurina na waziri mkuu ambaye sio wa chama chake huoni kama atalazimika?
View attachment 2911005

Sasa hata wewe mwemyewe umeshajijibu kwamba halazimiki.

Mamlaka ya uteuzi, kisheria, hailazimiki kufuata ushauri.
 
Ugumu upi? Katika hali kama hiyo ni lazima Rais atambue kuwa raia hawana imani na chama chake kwa hiyo hawezi kutawala kama vile peke yake ndie aliyepewa ridhaa. Lakini kitakachotokea ni kuwa Rais atawahonga uwaziri wabunge wa chama kilichoshinda kwa sababu ingawa ni chama tawala lakini hakitakuwa na nafasi zenye maslahi za kuwahongq wabunge wake nje ya uenyekiti wa kamati. Ndani ya mwezi Waziri Mkuu atajikuta hana watu na mzani umeegemea kwa chama cha Rais!

Amandla...
 
Soma Post No 41 atavunja Bunge lote na Utaitishwa uchaguzi mkuu hapo ndo tunaona Ubovu wa katiba
 
Wala sijakuelewa..
 
Chama tawala ni kile kilicho shinda urais
 
Kinabaki kuwa chama tawala tu ila kisicho na nguvu
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hivi mkuu umejisikia kabla ya kujibu 🀣🀣
Unatakiwa ujuwa nini Maana ya Tawala
 
Kiongozi uje utoe neno hapa tafadhali. Nataka kujifunza zaidi kuhusu hili.
Mdakuzi
Inaenda kuundwa serikali ya mseto, maana chama chenye Wabunge wengi kitaweza kuwa na Spika wa Bunge na Waziri Mkuu.

So ili Rais aweze kufanya kazi ni lazima aungane na chama chenye Wabunge wengi ili serikali iundwe na kufanya wajibu wake.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…