Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Mnatuchanganya Sasa😡😡Mkopo ni laana achana na hio kitu,ukichukua 60 marejesho lazima uwape m 39 faida Yao.
So hizo ni Hela zako ndizo unakopeshwa.
Labda Kama unayo biashara uijuao vizuri uingize pesa huko japo biashara kwa Hela ya mkopo nayo ni laana zaidi.
Mikopo imewafanya watumishi wengi kuwa masikini zaidi.
NAKAZIAkukopa kopa ovyo ni pepo la kutaka umasikini ,na stress za kujitakia.epuka kukopa kopa ovyo kwa usalama wa afya yako ya akili na uchumi wako.
At your own riskMnatuchanganya Sasa😡😡
Mkopo ni laana
Punyeto ni laana
Umasikini ni laana
Uzinzi ni laana
Mnataka sote tufanane ili mgundue Nini😡😡
Kuna jamaa alikuja kuniomba ushauri na hakuishia kwangu, aliomba ushauri na kwa masela wengine huku akijua anayo maamzi pekee kichwani, ukimshauri tofauti na mitzamo yake anaanza ooh me nmesoma uchumi, najua ntatoboa vip, jamaa ndoto ilkua kununua ndinga,Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m.
Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha.
Wadau nipo sawa kweli? Pepo la topup toka!!!
Umeongea point kwa wafanyabiashara riba za benk ni ndogo.60M unaenda kuilaza kwenye ujenzi.
Hiyo pesa akiipata mfanyabiashara baada ya mwaka 1 au 2 ana uwezo wa kuilipa benki aliyokopa 60M yao na interest rate zao
Wabongo tumezilaza pesa nyingi za mikopo kwenye ujenzi. Na kuanza kuishi maisha ya kitumwa
Hili ni somo gumu kueleweka na wengi
Mmh yupo Arusha ?Kuna jamaa alikuja kuniomba ushauri na hakuishia kwangu, aliomba ushauri na kwa masela wengine huku akijua anayo maamzi pekee kichwani, ukimshauri tofauti na mitzamo yake anaanza ooh me nmesoma uchumi, najua ntatoboa vip, jamaa ndoto ilkua kununua ndinga,
Sasa basi mda ukafika kachukua zake loan na kufukuzia ndinga ili kuifanya ndoto yake iwe kweli, hakutoboa mwaka mafuta yakawa kikwazo cha yeye kuonekana road, hivi tuzungumzapo kwenye taasisi anapofanya kazi hakuna anaemwazima hata buku maana uhakika wa kurudisha deni akopapo ni 0%
Sasa kama nawe upo na ABC's kichwani umekuja kutuchora wadau me hunipati.
🤣🤣 mwanza, inaonyesha wapo wengi.Mmh yupo Arusha ?
Mwenye uwezo huo ndugu yangu ni mfanyabiashara mzoefu na ana muda wa kusimamia hiyo fedha. Kwa watumishi wengi hawana experience na biashara ni ngumu kutoboa60M unaenda kuilaza kwenye ujenzi.
Hiyo pesa akiipata mfanyabiashara baada ya mwaka 1 au 2 ana uwezo wa kuilipa benki aliyokopa 60M yao na interest rate zao
Wabongo tumezilaza pesa nyingi za mikopo kwenye ujenzi na magari na kuanza kuishi maisha ya kitumwa
Hili ni somo gumu kueleweka na wengi
Maisha ya watumishi ni magumu sanaMwenye uwezo huo ndugu yangu ni mfanyabiashara mzoefu na ana muda wa kusimamia hiyo fedha. Kwa watumishi wengi hawana experience na biashara ni ngumu kutoboa
Kirahisi kiivyo sio60M unaenda kuilaza kwenye ujenzi.
Hiyo pesa akiipata mfanyabiashara baada ya mwaka 1 au 2 ana uwezo wa kuilipa benki aliyokopa 60M yao na interest rate zao
Wabongo tumezilaza pesa nyingi za mikopo kwenye ujenzi na magari na kuanza kuishi maisha ya kitumwa
Hili ni somo gumu kueleweka na wengi
ULIPO TUPODeni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m.
Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha.
Wadau nipo sawa kweli? Pepo la topup toka!
Mpaka siku ukiwa na entrepreneurship mindset utaelewa
Ni kweli maisha ya watumishi ni ya kitumwa sanaMwenye uwezo huo ndugu yangu ni mfanyabiashara mzoefu na ana muda wa kusimamia hiyo fedha. Kwa watumishi wengi hawana experience na biashara ni ngumu kutoboa