Mipango vs matumizi: Nimepanga kuchukua mkopo deni langu la benki likiisha ili nijenge ila kiasi ninachoweza kutopup kinanirusha roho!

Mkopo ni laana achana na hio kitu,ukichukua 60 marejesho lazima uwape m 39 faida Yao.
So hizo ni Hela zako ndizo unakopeshwa.
Labda Kama unayo biashara uijuao vizuri uingize pesa huko japo biashara kwa Hela ya mkopo nayo ni laana zaidi.
Mikopo imewafanya watumishi wengi kuwa masikini zaidi.
Mnatuchanganya Sasa😡😡
Mkopo ni laana
Punyeto ni laana
Umasikini ni laana
Uzinzi ni laana
Mnataka sote tufanane ili mgundue Nini😡😡
 
60M unaenda kuilaza kwenye ujenzi.

Hiyo pesa akiipata mfanyabiashara baada ya mwaka 1 au 2 ana uwezo wa kuilipa benki aliyokopa 60M yao na interest rate zao

Wabongo tumezilaza pesa nyingi za mikopo kwenye ujenzi na magari na kuanza kuishi maisha ya kitumwa

Hili ni somo gumu kueleweka na wengi
 
Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m.

Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha.
Wadau nipo sawa kweli? Pepo la topup toka!!!
Kuna jamaa alikuja kuniomba ushauri na hakuishia kwangu, aliomba ushauri na kwa masela wengine huku akijua anayo maamzi pekee kichwani, ukimshauri tofauti na mitzamo yake anaanza ooh me nmesoma uchumi, najua ntatoboa vip, jamaa ndoto ilkua kununua ndinga,

Sasa basi mda ukafika kachukua zake loan na kufukuzia ndinga ili kuifanya ndoto yake iwe kweli, hakutoboa mwaka mafuta yakawa kikwazo cha yeye kuonekana road, hivi tuzungumzapo kwenye taasisi anapofanya kazi hakuna anaemwazima hata buku maana uhakika wa kurudisha deni akopapo ni 0%

Sasa kama nawe upo na ABC's kichwani umekuja kutuchora wadau me hunipati.
 
60M unaenda kuilaza kwenye ujenzi.

Hiyo pesa akiipata mfanyabiashara baada ya mwaka 1 au 2 ana uwezo wa kuilipa benki aliyokopa 60M yao na interest rate zao

Wabongo tumezilaza pesa nyingi za mikopo kwenye ujenzi. Na kuanza kuishi maisha ya kitumwa

Hili ni somo gumu kueleweka na wengi
Umeongea point kwa wafanyabiashara riba za benk ni ndogo.

Lakini wafanyakazi wengi hawana muda wa usimamizi wa biashara. Kwa hiyo miradi yao mingi huwa inakufa wanabaki na majuto. Changamoto huwa ni either muda au uzoefu.

Mtu kama huyo ni bora azike pesa yake kwenye ujenzi tu.

Nimeona kwa mfano kuna jamaa mmoja alikopa 14M na anatakiwa ardihe 39M kwa miaka 8 halafu analalamika ameonewa. Makato kwa mwezi ni laki 4 na kidogo. Hii pesa ukimpa mtu anayejua biashara anaweza kuzalisha faida ya 1M mpaka 2M kwa mwezi, kwa hiyo kulipa laki nne naa.. inakuwa sio ishu kwake.

Mikopo inakuwa mitamu kama unaweza kuirisk kwenye biashara, na hii inatakiwa kwanza uanze na pesa zako mwenyewe upotezee pesa kwenye miradi kadhaa ndio uweze kupata huo uzoefu wa kutengezeza faida.
 
Kuna jamaa alikuja kuniomba ushauri na hakuishia kwangu, aliomba ushauri na kwa masela wengine huku akijua anayo maamzi pekee kichwani, ukimshauri tofauti na mitzamo yake anaanza ooh me nmesoma uchumi, najua ntatoboa vip, jamaa ndoto ilkua kununua ndinga,

Sasa basi mda ukafika kachukua zake loan na kufukuzia ndinga ili kuifanya ndoto yake iwe kweli, hakutoboa mwaka mafuta yakawa kikwazo cha yeye kuonekana road, hivi tuzungumzapo kwenye taasisi anapofanya kazi hakuna anaemwazima hata buku maana uhakika wa kurudisha deni akopapo ni 0%

Sasa kama nawe upo na ABC's kichwani umekuja kutuchora wadau me hunipati.
Mmh yupo Arusha ?
 
60M unaenda kuilaza kwenye ujenzi.

Hiyo pesa akiipata mfanyabiashara baada ya mwaka 1 au 2 ana uwezo wa kuilipa benki aliyokopa 60M yao na interest rate zao

Wabongo tumezilaza pesa nyingi za mikopo kwenye ujenzi na magari na kuanza kuishi maisha ya kitumwa

Hili ni somo gumu kueleweka na wengi
Mwenye uwezo huo ndugu yangu ni mfanyabiashara mzoefu na ana muda wa kusimamia hiyo fedha. Kwa watumishi wengi hawana experience na biashara ni ngumu kutoboa
 
Maisha ya watumishi ni magumu sana

Wengi wakistaafu huwa sioni wakiwa na assets za maana

Miaka mingi wakiwa kazini wamekuwa wakizitumikia taasisi za kifedha walizokopa kurejesha pesa

Na wakijaribugi kutumia pesa zao za pensheni kwenye biashara wengi hufeli mara presha, stroke, kisukari futi 6 udongoni
 
60M unaenda kuilaza kwenye ujenzi.

Hiyo pesa akiipata mfanyabiashara baada ya mwaka 1 au 2 ana uwezo wa kuilipa benki aliyokopa 60M yao na interest rate zao

Wabongo tumezilaza pesa nyingi za mikopo kwenye ujenzi na magari na kuanza kuishi maisha ya kitumwa

Hili ni somo gumu kueleweka na wengi
Kirahisi kiivyo sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m.

Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha.

Wadau nipo sawa kweli? Pepo la topup toka!
ULIPO TUPO
 
Mwenyewe Kuna kanafsi kananiambia kopa kopa ujenge.
Tofali ninazo nondo ninazo, vimilioni viwili vya kuanzia saruji na fedha ya fundi ninavyo. Nikisema nizichange kila mwezi niwe na save ni 400000 kwa mwezi, mpaka kuhamia hiyo nyumba itanichukua muda, nikizama bank kuchukua hata 12m hivi, daah kichwa kinauma
 
Naona kukopa kwa mwaka au miaka 2 inafaa zaidi kulilo miaka 8
 
Back
Top Bottom