Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

Kuna jamaa yangu washkaji zake walikuwa na baba yao mzee kweli alikuwa anaugua sana na wakaplan mazishi maana walijua hatachukua week kadhaa.

Kilichotokea ni kuwa yule mzee alikuwa anaibuka ghafla anaomba ugali mkubwa na samaki na anaomba nyongeza.

Hali hiyo iliendelea miaka miwili mpaka last week yule mzee ndio alifariki. Ila akiwa kama ameacha laana maana ilifikia mahali vijana wake walipoona hafi wakawa kama wamemtelekeza.
 
Kwamba wanajiandaa kwa mazishi wakati mtu hajafa?
"London Bridge is down"
Ndio phrase ilikuwa inatumika kuandaa mazishi ya mama yake Charles, Queen Elizabeth tangu mwaka 1960
Mpaka umauti ulipomkuta September 2022
Kwa hiyo hata King Charles ni maandalizi tu ya kawaida kwao kufanya hivyo

Hukumbuki mme wa Malkia alikufa kabla ya queen lakini maiti haikuzikwa ikisubiri Malkia afe ndio azikwe kwanza ndio mzee afuate
 
Back
Top Bottom