Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

William kijana wa Princes Diana, bila shaka atafuatia kukalia kiti. Japo ni kama familia ya kifalme inapitia moto maana mkewe William ana pitia kwenye ugonjwa wa kansa.

Ni kazi baada ya Willoam, je atafuata yule mtoto wa Diana wa nje ya ndoa?
 
Baada ya William ni George
 
Kwani ina athari gani kwenye uchaguzi wabserikali za mtaa?
Najiuliza safari hii mama atakwenda tena aingizwe kwenye mkokoteni na maraisi wengine wa kiafrika ?
Napendekeza akifa viongozi wa kiafrika waache kimbelembele
 
Kwanza babu yake aliwafunga babu zetu minyororo
 
William kijana wa Princes Diana, bila shaka atafuatia kukalia kiti. Japo ni kama familia ya kifalme inapitia moto maana mkewe William ana pitia kwenye ugonjwa wa kansa.

Ni kazi baada ya Willoam, je atafuata yule mtoto wa Diana wa nje ya ndoa?
His Royal Highness Prince George of Wales is second in line to the throne just behind his father.
 
Back
Top Bottom