Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

Kuna jamaa yangu washkaji zake walikuwa na baba yao mzee kweli alikuwa anaugua sana na wakaplan mazishi maana walijua hatachukua week kadhaa.

Kilichotokea ni kuwa yule mzee alikuwa anaibuka ghafla anaomba ugali mkubwa na samaki na anaomba nyongeza.

Hali hiyo iliendelea miaka miwili mpaka last week yule mzee ndio alifariki. Ila akiwa kama ameacha laana maana ilifikia mahali vijana wake walipoona hafi wakawa kama wamemtelekeza.
Hawakufanya sawa, kifo wengi tunakiogopa.
Sio kua ukiwa mzee basi hitaji lako ni kifo tu.

Vijana tunakosea sana jinsi tunavyotreat wazee wetu
 
Kwamba wanajiandaa kwa mazishi wakati mtu hajafa?
Vuta kumbukizi kwa maandalizi ya mazishi ya baba wa Taifa, namna yalivyoanza huku hajafariki akiendelea na matibabu St Thomas hsp England.

Waganga wao mabingwa wabobezi hubashiri kifuatacho na kutoa ushauri mahususi kwa viongozi wa kiserikali kujiandaa na jambo linalokuja mbele yao wasije kujikanganya katika maandalizi ya kiitifaki katika 'sherehe' hiyo.

Umahiri huo ulipelekea uzushi uliozagazwa enzi hizo kuwa baba wa Taifa alikufa siku nyingi tukafichwa ili kukamilisha maandalizi ya mazishi, jambo ambalo ni uongo.
 
Kuna jamaa yangu washkaji zake walikuwa na baba yao mzee kweli alikuwa anaugua sana na wakaplan mazishi maana walijua hatachukua week kadhaa.

Kilichotokea ni kuwa yule mzee alikuwa anaibuka ghafla anaomba ugali mkubwa na samaki na anaomba nyongeza.

Hali hiyo iliendelea miaka miwili mpaka last week yule mzee ndio alifariki. Ila akiwa kama ameacha laana maana ilifikia mahali vijana wake walipoona hafi wakawa kama wamemtelekeza.
Mmmh hawaijui dawa ya kumalizia? Wakati mwingne wanageukaga wadudu au wanyama wakalii.
 
Kuna jamaa yangu washkaji zake walikuwa na baba yao mzee kweli alikuwa anaugua sana na wakaplan mazishi maana walijua hatachukua week kadhaa.

Kilichotokea ni kuwa yule mzee alikuwa anaibuka ghafla anaomba ugali mkubwa na samaki na anaomba nyongeza.

Hali hiyo iliendelea miaka miwili mpaka last week yule mzee ndio alifariki. Ila akiwa kama ameacha laana maana ilifikia mahali vijana wake walipoona hafi wakawa kama wamemtelekeza.
Mzee wa nongwa huyo😂
 
Ingekuwa ni Afrika ingekuwa ni nongwa kubwa na sisi tungeandamana kudai kiongozi wetu ni mzee sana.
Si unakumbuka tulivyomtenga na kumuua Gadafi kwa visingizio vya kijinga.
Tinubu na King Charles nani mkubwa? Zaidi kwa Uingereza kiongozi ni Waziri Mkuu, mfalme ni ceremonial!
 
Ingekuwa ni Afrika ingekuwa ni nongwa kubwa na sisi tungeandamana kudai kiongozi wetu ni mzee sana.
Si unakumbuka tulivyomtenga na kumuua Gadafi kwa visingizio vya kijinga.
Gaddafi hakuwa mwafrika mkuu
 
Back
Top Bottom