Mipango ya kumzika mfalme Charles ineaendelea.Hali yake si nzuri.

Kwa king charles ni kwamba baada ya kugundulika na pancretic cancer, inasemekana inakua kwa kasi sana, kiasi kwamba anakadirowa ana miaka miwili tu ya kuishi.
Ila pia yeye mwenyewe bado anahofu kwamba william hatoweza hajawa tayari kuongoza... So ni kama wapo kwemye dillema
 
BBC na vyombo vingine vya Kifalme, huwa wanafanya mazoezi haya-Mipango ya Mazishi-mara nyingi tu, hata pale Afya za Wafalme hao zikiwa nzuri.

Ufalme huu upo Ukingoni, udhalimu wake wa karne na karne sasa unapata majibu yake.

Familia wazidishiwe nguvu kwa kipindi hichi kigumu.


NB:Utakuwa mda muafaka kuondoka kwenye unyonyaji unaifanywa na Mkuu wa Jumuiya ya Makoloni yake. Commonwealth.

GOD save The King!
 
Ingekuwa ni Afrika ingekuwa ni nongwa kubwa na sisi tungeandamana kudai kiongozi wetu ni mzee sana.
Si unakumbuka tulivyomtenga na kumuua Gadafi kwa visingizio vya kijinga.
Gadafi Aliuliwa na hao hao magaidi wa Nato sio waafrika.
sisi hatukua wala hatuna shida ba Gadafi Majangili yalimuu.Yako hai mpaka leo Jangili la Kwanza Linaitwa Sakorzy Nicolaus lingine David Cameroun na Lingine Hullary Clinton haya majangili yalipanga yakaratibu zoezi la kumuua yule mzee.
 
sarkozy kwanza alimtapeli Gadafi akapata pesa za uchaguzi
 
Gadafi alikuwa gaidi hakustahili kuendelea kuishi kwa nataka Ali bora wa dunia
 
Ingekuwa ni Afrika ingekuwa ni nongwa kubwa na sisi tungeandamana kudai kiongozi wetu ni mzee sana.
Si unakumbuka tulivyomtenga na kumuua Gadafi kwa visingizio vya kijinga.
Uingereza mfalme/malkia ni ceremonial tu tofauti na huku kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…