watu kama ninyi mnakuwaga wabishi sana sijui kwa nini, kwahyo wewe unaamini biblia.
Pumzi unayopumua ni evidence tosha,..
creation ya viumbe hai vinavyoishi,..
pia baada ya kufa roho/nafsi unahisi vinakwenda wapi,..vinapotea2 au vinaenda wapi?,,HAPANA
Vinarudi kwa MUNGU aliyekuleta ulimwenguni,...hiyo ni evidence tosha kuumbwa kwako na kufa kwako yupo creator aliyekuumba wewe ambaye ana mamlaka juu ya hiyo nafs aliyokuumbia wewe,..
Pumzi ninayopumua inathibitishaje kwamba mungu yupo?.
Pumzi unayopumua ni evidence tosha,..
creation ya viumbe hai vinavyoishi,..
pia baada ya kufa roho/nafsi unahisi vinakwenda wapi,..vinapotea2 au vinaenda wapi?,,HAPANA
Vinarudi kwa MUNGU aliyekuleta ulimwenguni,...hiyo ni evidence tosha kuumbwa kwako na kufa kwako yupo creator aliyekuumba wewe ambaye ana mamlaka juu ya hiyo nafs aliyokuumbia wewe,..
Unajua ndugu yangu iko hivi,...Pumzo ninayopumua inathibitishaje kwamba mungu yupo?
Creation ya viumbe hai ilikuwaje?
Roho ni nini?
Hujajibu maswali niliyokuuliza.Unajua ndugu yangu iko hivi,...
wewe ni mbishani unabishana na ukweli,..ok sawa
kama huamini MUNGU YUPO Niwewe na nafsi yako,..
ila jua MUNGU YUPO na utakapoiacha dunia ndo utaamini,...
au hapahpa duniani atakuaminisha,..
wewe ishi na jidanganye na maisha ya kugoogle
nafsi yako umeumbwa na unapumua,...
evidence za kwenyw bible hutakii,..
we unahisi utaishi milele aya,..
ILA MRUDIE MUNGU UOKOKE,...
kuna njia2,..njia ya uzima ambayo ya haki,..njia ya uzima wa milele,..Hujajibu maswali niliyokuuliza.
Kama kuna mungu, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaumba ulimwengu unaowezekana kuwa na maovu na mateso mengi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauna maovu wala mateso?
Wapi nimesema nahisi nitaishi milele? Una assume tu?
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.kuna njia2,..njia ya uzima ambayo ya haki,..njia ya uzima wa milele,..
ambyo ukiwa ktk njia hii hutakiwi kufanya dhambi,..unaishi maisha ya ya utakatifu ya kumpendeza MUNGU,..
ambayo ni njia ngumu sana wengi wameishindwa
pia kaa ukijua MUNGU Hajaumba dhambi,...
dhambi zinaletwa na shetani,..
hayo unayozungumzia ni kma yapi labda
hiyo nimejibu,..au huelewi wewe???Kama kuna mungu, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaumba ulimwengu unaowezekana kuwa na maovu
hiyo nmekuuliza mateso kma yepi,..mateso mengi
Mungu ndo anajua tu kuwa yupi kaisafisha njia na yupi miyeyusho.Namshukulu mungu njia yangu ya kwenda kwa mungu ni safi kidogo, ila naendelea kuisafisha wakati wa kupita kusiwe na pingamizi lolote. wengine njia zao hazipitiki kabisa kwa madhambi yao.
Huyu ni mfano wa Farisayo.Mpaka hapo njia yako ni chafu sana kuliko zote
Wewe utajisifu vipi kujilinganisha na wengine?
Celine dion hajui kiswahili.Pole zake Celine dion, Wapumzike kwa Amani
YEAH BabyHuyu ni mfano wa Farisayo.
Too judgemental.
Mkuu Kiranga nimeona coments zako nyinhi humu natamani tureason wote lakini it seems like hutumii biblia na pengime huiamini sivyo?Hujajibu maswali niliyokuuliza.
Kama kuna mungu, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaumba ulimwengu unaowezekana kuwa na maovu na mateso mengi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauna maovu wala mateso?
Wapi nimesema nahisi nitaishi milele? Una assume tu?
Sitaki kuamini, nataka kujua.Mkuu Kiranga nimeona coments zako nyinhi humu natamani tureason wote lakini it seems like hutumii biblia na pengime huiamini sivyo?
Oh sawa mkuu haina shidaSitaki kuanini, nataka kujua.
Hata ningetaka kuamini, ningetaka kuamini kitu kili ho logically consistent.
Biblia haiko logically consistent.
Hivi kwanini huwa mnatumia akili za darasani ku-reason na mambo ya kiroho? Okay lemme help out here. Mungu aliumba ulimwengu usio na maovu au mateso. Kilichokuja kuharibu ni dhambi ya Adam and Eve. Mungu ni Mungu wa principles. Kila kitu kwake kina consequences. So Adam na Eve walivyotenda dhambi, walifungua mlango wa matatizo na mateso.Hujajibu maswali niliyokuuliza.
Kama kuna mungu, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaumba ulimwengu unaowezekana kuwa na maovu na mateso mengi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauna maovu wala mateso?
Wapi nimesema nahisi nitaishi milele? Una assume tu?
Hivi kwanini huwa mnatumia akili za darasani ku-reason na mambo ya kiroho? Okay lemme help out here. Mungu aliumba ulimwengu usio na maovu au mateso. Kilichokuja kuharibu ni dhambi ya Adam and Eve. Mungu ni Mungu wa principles. Kila kitu kwake kina consequences. So Adam na Eve walivyotenda dhambi, walifungua mlango wa matatizo na mateso.
Also, God is full of love that's why he gave his one and only son to come here and die for y'all.
Aisee...maovu unayoyaona leo yameanza na anguko la dhambi huko Eden.Akili za darasani zina muhuri gani?
Roho ni nini?
Nakuuliza swali la kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao uovu unawezekana kufanyika, kabla ya Adam kuumbwa mungu aliumba ulimwengu, na alikuwa na uwezo wa kuruhusu au kutoruhusu uovu kufanyika.
Kwa nini aliruhusu uovu kuwezekana kufanyika wakati aliweza kutoruhusu uovu kufanyika?
Ikianza kumtaja Adam tu ama hujaelewa swali ama umeelewa huna jibu unazuga.
Huwezi kumtaja Adam kama jibu la swali ambalo limeulizwa kuhisu muda ambao Adam alikuwa hajaumbwa.
Kama mungu no mungu wa principle kwa nini kaumba ulimwengu ambao unam contradict?
Kwa nini tunaambiwa mungu ana uwezo wote na upendo wote, halafu tunaona watoto wadogo wanakufa vifo vya kutisha kwa magonjwa, vita, matetemeko ya ardhi etc.
Wale watoto wamefanya kibaya gani mpaka wapate consequence mbaya hii?
Mungu hawezi kuwa chanzo cha mabaya.kwa hiyo mkuu ulikuwa unataka kusemaje labda!