Mipango ya Mungu (Yanayomsibu Celine Dion)

.

Pumzi unayopumua ni evidence tosha,..
creation ya viumbe hai vinavyoishi,..
pia baada ya kufa roho/nafsi unahisi vinakwenda wapi,..vinapotea2 au vinaenda wapi?,,HAPANA
Vinarudi kwa MUNGU aliyekuleta ulimwenguni,...hiyo ni evidence tosha kuumbwa kwako na kufa kwako yupo creator aliyekuumba wewe ambaye ana mamlaka juu ya hiyo nafs aliyokuumbia wewe,..
watu kama ninyi mnakuwaga wabishi sana sijui kwa nini, kwahyo wewe unaamini biblia
 
.

Pumzi unayopumua ni evidence tosha,..
creation ya viumbe hai vinavyoishi,..
pia baada ya kufa roho/nafsi unahisi vinakwenda wapi,..vinapotea2 au vinaenda wapi?,,HAPANA
Vinarudi kwa MUNGU aliyekuleta ulimwenguni,...hiyo ni evidence tosha kuumbwa kwako na kufa kwako yupo creator aliyekuumba wewe ambaye ana mamlaka juu ya hiyo nafs aliyokuumbia wewe,..
Pumzi ninayopumua inathibitishaje kwamba mungu yupo?

Creation ya viumbe hai ilikuwaje?

Roho ni nini?
 
Pumzo ninayopumua inathibitishaje kwamba mungu yupo?

Creation ya viumbe hai ilikuwaje?

Roho ni nini?
Unajua ndugu yangu iko hivi,...
wewe ni mbishani unabishana na ukweli,..ok sawa
kama huamini MUNGU YUPO Niwewe na nafsi yako,..
ila jua MUNGU YUPO na utakapoiacha dunia ndo utaamini,...
au hapahpa duniani atakuaminisha,..
wewe ishi na jidanganye na maisha ya kugoogle
nafsi yako umeumbwa na unapumua,...
evidence za kwenyw bible hutakii,..
we unahisi utaishi milele aya,..
ILA MRUDIE MUNGU UOKOKE,...
 
Hujajibu maswali niliyokuuliza.

Kama kuna mungu, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaumba ulimwengu unaowezekana kuwa na maovu na mateso mengi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauna maovu wala mateso?

Wapi nimesema nahisi nitaishi milele? Una assume tu?
 
kuna njia2,..njia ya uzima ambayo ya haki,..njia ya uzima wa milele,..
ambyo ukiwa ktk njia hii hutakiwi kufanya dhambi,..unaishi maisha ya ya utakatifu ya kumpendeza MUNGU,..
ambayo ni njia ngumu sana wengi wameishindwa
pia kaa ukijua MUNGU Hajaumba dhambi,...
dhambi zinaletwa na shetani,..
hayo mateso unayozungumzia ni kma yapi labda
 
kuna njia2,..njia ya uzima ambayo ya haki,..njia ya uzima wa milele,..
ambyo ukiwa ktk njia hii hutakiwi kufanya dhambi,..unaishi maisha ya ya utakatifu ya kumpendeza MUNGU,..
ambayo ni njia ngumu sana wengi wameishindwa
pia kaa ukijua MUNGU Hajaumba dhambi,...
dhambi zinaletwa na shetani,..
hayo unayozungumzia ni kma yapi labda
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Awali ya yote, thibitisha kwamba mungu yupo.
 
Namshukulu mungu njia yangu ya kwenda kwa mungu ni safi kidogo, ila naendelea kuisafisha wakati wa kupita kusiwe na pingamizi lolote. wengine njia zao hazipitiki kabisa kwa madhambi yao.
Mungu ndo anajua tu kuwa yupi kaisafisha njia na yupi miyeyusho.
 
huku mtaani kwetu kuna boda boda imeandikwa: "Msiba wa Mchina, we Mbongo unakuuma vipi?"
 
Hujajibu maswali niliyokuuliza.

Kama kuna mungu, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaumba ulimwengu unaowezekana kuwa na maovu na mateso mengi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauna maovu wala mateso?

Wapi nimesema nahisi nitaishi milele? Una assume tu?
Mkuu Kiranga nimeona coments zako nyinhi humu natamani tureason wote lakini it seems like hutumii biblia na pengime huiamini sivyo?
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Hata ningetaka kuamini, ningetaka kuamini kitu kilicho logically consistent.

Biblia haiko logically consistent.
 
Sitaki kuanini, nataka kujua.

Hata ningetaka kuamini, ningetaka kuamini kitu kili ho logically consistent.

Biblia haiko logically consistent.
Oh sawa mkuu haina shida
 
Hujajibu maswali niliyokuuliza.

Kama kuna mungu, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaumba ulimwengu unaowezekana kuwa na maovu na mateso mengi wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauna maovu wala mateso?

Wapi nimesema nahisi nitaishi milele? Una assume tu?
Hivi kwanini huwa mnatumia akili za darasani ku-reason na mambo ya kiroho? Okay lemme help out here. Mungu aliumba ulimwengu usio na maovu au mateso. Kilichokuja kuharibu ni dhambi ya Adam and Eve. Mungu ni Mungu wa principles. Kila kitu kwake kina consequences. So Adam na Eve walivyotenda dhambi, walifungua mlango wa matatizo na mateso.
Also, God is full of love that's why he gave his one and only son to come here and die for y'all.
 
Akili za darasani zina muhuri gani?

Roho ni nini?

Nakuuliza swali la kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao uovu unawezekana kufanyika, kabla ya Adam kuumbwa mungu aliumba ulimwengu, na alikuwa na uwezo wa kuruhusu au kutoruhusu uovu kufanyika.

Kwa nini aliruhusu uovu kuwezekana kufanyika wakati aliweza kutoruhusu uovu kufanyika?

Ikianza kumtaja Adam tu ama hujaelewa swali ama umeelewa huna jibu unazuga.

Huwezi kumtaja Adam kama jibu la swali ambalo limeulizwa kuhisu muda ambao Adam alikuwa hajaumbwa.

Kama mungu no mungu wa principle kwa nini kaumba ulimwengu ambao unam contradict?

Kwa nini tunaambiwa mungu ana uwezo wote na upendo wote, halafu tunaona watoto wadogo wanakufa vifo vya kutisha kwa magonjwa, vita, matetemeko ya ardhi etc.

Wale watoto wamefanya kibaya gani mpaka wapate consequence mbaya hii?
 
Aisee...maovu unayoyaona leo yameanza na anguko la dhambi huko Eden.
Okay Mungu hakushindwa kuumba ulimwengu ambao hauna uwezekano wa uovu. Ila alitaka kuumba ulimwengu ambao watu watakuwa na upendo wa kweli kwake. Ndio maana akawapa free will. Binadamu alikua na uwezo wa kuchagua kumpenda Mungu na kufuata asemacho, lakini yeye alichagua kuasi. Na consequences zake ndio zipo kizazi hadi kizazi.
 
Back
Top Bottom