Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
watu kama ninyi mnakuwaga wabishi sana sijui kwa nini, kwahyo wewe unaamini biblia.
Pumzi unayopumua ni evidence tosha,..
creation ya viumbe hai vinavyoishi,..
pia baada ya kufa roho/nafsi unahisi vinakwenda wapi,..vinapotea2 au vinaenda wapi?,,HAPANA
Vinarudi kwa MUNGU aliyekuleta ulimwenguni,...hiyo ni evidence tosha kuumbwa kwako na kufa kwako yupo creator aliyekuumba wewe ambaye ana mamlaka juu ya hiyo nafs aliyokuumbia wewe,..