Mipango ya upigaji tu: Kwanini Polepole kasema wahuni hawafai uongozi - Mfano wa TANESCO chini ya waziri Januari

Mipango ya upigaji tu: Kwanini Polepole kasema wahuni hawafai uongozi - Mfano wa TANESCO chini ya waziri Januari

story za vijiwen, juz kenya imerusha satellite kwa gharama kubwa kule california eti leo ruto atafute hela za mishahara only imbecile can believe.
Naona imbecile ndio atarusha sattelite kule california huku hana hela kulipa mishahara?🤣😆😂🤸
 
Wazalendo uchwara mlipata nafasi ya kutawala, mkaishia kuumiza kila asiyewasujudia kwa ulevi wa madaraka, imefikia mahali tunaona afadhali wahuni kuliko nyie wazalendo uchwara, hata kama wote nyie ni walewale.
Sasa hapo umetoa hoja gani. Nafikiri wewe utakua mlamba asali mtumbuliwa au cheti feki mhanga awamu ya 5.
Tunaongelea kufichua ufisadi kwa madhumuni ya kuimarisha uongozi bora wewe unajida liwalo liwe. Kwanza hakuna kitu kama sukumagang. Hii ni dhana mnajenga wapenda upigaji na walamba asali awamu ya mama.
 
Hayo Majungu uliyoleta ndio hoja? Kuna utawala bora gani kwenye serikali ya majizi ya kura? Hapa tupo tupo tu. Huo uzalendo uchwara wako baki nao, acha wenye nafasi ya kupiga sasa wapige hili shamba la bibi. Nyie kaleni ile 1.5t mliyoiba kipindi cha dhalimu.
 
Haya bhana..umeeleweka.🙏
 
Hamia Burundi mkuu, achana na hizi stress zitakumaliza mapema
Wewe mbona hujitambui mtu kaleta hoja sensitive wewe unaongea Pumba?watu kama wewe ndo mnaosababisha CCM waendelee kuiba hela za Uma.
 
Mleta mada hivi Sasa tunajadili ripoti ya CAG. Hili nalo limo kwenye ripoti ya CAG?
Yes ipo, kwenye baadhi ya maelezo yake, inaonesha kwamba hizo Meter zimenunuliwa bila kukaguliwa na mamlaka za ukaguzi km TBS etc....
 
Yaani katika mawaziri ambao siwakubali ni February na mwenzie wa fedha. Halafu wote eti wana ndoto ya kuwa Marais. Bahat mbaya sana ndio washauri wa mkuu.
Na slow slow huwa anawapasukia ukweli kwa hiyo hawamtaki
 
Wewe mbona hujitambui mtu kaleta hoja sensitive wewe unaongea Pumba?watu kama wewe ndo mnaosababisha CCM waendelee kuiba hela za Uma.
Kaandika hoja gani hapo zaidi ya usukuma gang wake, hata kuandika kiswahili tu hajui then unakuja mbio kumtetea Sukuma gang mwenzio. Kubadiri maana yake ni nini? Nayo ni spelling error?
Toa hoja bila mihemeko watu wachangie, sasa unapoita viongozi kuwa ni wahuni ila hapo hapo unasema umetoa hoja, hapo unajitofautishaje na Sukuma gang?
 
Back
Top Bottom