Muulize Niffer yupo huko atakujibu Mkuu..India ina uchumi uliojifia ?
Inategemea unalinganisha na uchumi wa Tanzania au USA,India ina uchumi uliojifia ?
Ajifunze Ata kwa Xi Jingpin Ata kuongea baba wa watu anaona shida ila unaiona china inabokua kwa kasi ya kimbungaHilo limzee ni-lichizi š¤£š¤£š¤£
Halinaga Jema kwake , Raisi kuwa anaropoka ropoka hovyo hivyo anakuwa anatofauti Gani na mademu wa uswahilini wakina chausiku
Sasa nerandra modi akili zinaaza kumkaa sawa ameshanza kufufua uhusiano wake na china am3shsjua USA hawaaminikiHuyu bwana ana mipasho sio kidogošView attachment 3425546
Naye asiwe anatisha tisha watu, yuko too obsessed na mipasho ya taarabu kama za Khadija Kopa, siyo vizuri Rais mzima na akill zake timamu kushinda mitandaoni kwenye questionable social media platform akijibiza jibizana wakati mwingine na watoto wadogo!!Huyu bwana ana mipasho sio kidogošView attachment 3425546
Umerogwa na marehemu bibi yako,sasa huyo chiba unamfananisha na Zee la hovyo Trump,kweli akutukanae hakuchagulii tusi.Trump ni lissu aliyechangamka anakupiga kibao cha ukweli.
Ha ha, man, this is the good stuff, GOD bless Mr. Donard Trump the POTUS.Sio mipasho, Trump huwa Hana Ile mnaita "diplomasia" "ustaarabu" tafsida nk. Nyeusi kwake ni nyeusi sio "dark black"View attachment 3425573