Mipasho ya Trump kwa Russia, India na kwa aliyekuwa Rais wa Russia Medvedev

Hilo limzee ni-lichizi 🤣🤣🤣

Halinaga Jema kwake , Raisi kuwa anaropoka ropoka hovyo hivyo anakuwa anatofauti Gani na mademu wa uswahilini wakina chausiku
Jamaa naEnjoy kumsikiliza ni zaidi ya mswahili mpaka katika Live press anawachamba Waandishi wa habari mpka hurumu.

Kuna moja alimuita mtu CNN kwa dharau fake news na kumpa mipasho , nyingine akiwa oval office na Ramaphosa baada ya kuplay video mwandishi alimuuliza kitu kingine ikamkera akampa mipasho kuwa ni Mwandishi wa hovyo anataka kumdivert kutokana na kile alichokionyesha.
 
Natamani miaka mine ya bwana huyu iishe haraka. Lol
 
Trump huwa anafurahisha sana, anatoa maneno kama mwanamke wa kizaramo sema hapo Kwa Medvedev naye Trump kayakanyaga maana huyo jamaa nae anapenda hizo ligi za kuchambana kweli kweli, mdomo wake nae hauna break...Unaweza kudhania US anaweza kukuvamia Sasa hivi Kwa hayo maneno, Xi yeye haongei hadharani Kwa mbwe mbwe lakini Nina Imani kwenye vikao vya ndani vya CCP makomredi wanakula na makwenzi kabisa, mtu mpole ni hatari sana.
 
Jamaa naEnjoy kumsikiliza ni zaidi ya mswahili mpaka katika Live press anawachamba Waandishi wa habari mpka hurumu.

Kuna moja alimuita mtu CNN kwa dharau fake news na kumpa mipasho , nyingine akiwa oval office na Ramaphosa baada ya kuplay video mwandishi alimuuliza kitu kingine ikamkera akampa mipasho kuwa ni Mwandishi wa hovyo anataka kumdivert kutokana na kile alichokionyesha.
😀 Hayupo sawa upstairs
 
Trump huwa anafurahisha sana, anatoa maneno kama mwanamke wa kizaramo sema hapo Kwa Medvedev naye Trump kayakanyaga maana huyo jamaa nae anapenda hizo ligi za kuchambana kweli kweli, mdomo wake nae hauna break...Unaweza kudhania US anaweza kukuvamia Sasa hivi Kwa hayo maneno, Xi yeye haongei hadharani Kwa mbwe mbwe lakini Nina Imani kwenye vikao vya ndani vya CCP makomredi wanakula na makwenzi kabisa, mtu mpole ni hatari sana.

Hapo sioni kama Trump ametoa mipasho. Kiuhalisia ameusema ukweli, na bila shaka ana takwimu halisia za biashara kati ya US na India, na kati ya US na Russia.
 
Bali huangaliwa "Tone" iliyotumika, Trump ni mtu mwenye Ego kubwa, Sasa tone yake lazima iwe ina ujeuri na maneno ya kuchamba hata kama ni Ukweli...
 
Back
Top Bottom