Mipasho ya Trump kwa Russia, India na kwa aliyekuwa Rais wa Russia Medvedev

Mipasho ya Trump kwa Russia, India na kwa aliyekuwa Rais wa Russia Medvedev

Russia yenyewe uchumi wake ni nusu ya uchumi wa Jimbo Moja la US, California,Sasa hapo watashindana Kwa kipi?Ndio maana anawapelekesha kama watoto🤔
....
 

Attachments

  • Screenshot_20250802-032654.png
    Screenshot_20250802-032654.png
    120.8 KB · Views: 16
  • Screenshot_20250802-032729.png
    Screenshot_20250802-032729.png
    116.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20250802-032654.png
    Screenshot_20250802-032654.png
    120.8 KB · Views: 14
  • Screenshot_20250802-032729.png
    Screenshot_20250802-032729.png
    116.6 KB · Views: 9
Lini USA amempelekesha Russia?
Wapi!?
Kwa namna gani!?
Iran tu wanashindwa kuipelekesha, watawezaje kuipelekesha Russia!?
Mkuu,mambo mengine ukiyasikiliza unabaki unaduwaa!! Lakini looking back now,naona propaganda za western media zilifanya an excellent job ya kujaribu ku-brain wash watu wengi tu Dunian kwa kupitia through omnipresent western inept media mfano:CNN,FOXNEWS,MSNBC, WSJ you name it!!

Majority ya watu huwambii kitu wakakuelewa, kwao Dunia ni America na Ulaya basi!!
 
Back
Top Bottom