Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Miradi mikubwa inayoendelea Kenya

Wanafurahisha hawa watu ambao ni foreigners kwenye nchi yao wenyewe. Ardhi yao yote inamilikiwa na wageni na viongozi.
 
foreigner ni wewe.cut your stupid noses from these kenyan forum
 
Mji wa "Konza Technology City"

konza1.jpg

Access-Road-Contruction-Ongoing-1-620x350.jpg
hizo project simnazo tangu mpate uhuru............
mmeishia wapi
 
mwapenda kutroll sana eeh and remove the Oprah winfrey profile asap
 
we have alot of white people in Kenya btw and their presence wont change our cultural values especially from where in live in the city so,if you hate them you are nothing but racist people from tz. I live with many white people in apartments so just be content with it,we love whites and my girlfriend is white too!
 
we have alot of white people in Kenya btw and their presence wont change our cultural values especially from where in live in the city so,if you hate them you are nothing but racist people from tz
teh teh
mnajivunia kuwa na wazungu wengi then masikini wa kutupwa...........mko vizuri kiakili kweli??mzungu sio mtu wa kumfurahia akiwa nchini kwako,.wanyonyaji wale,.nyi mnafurahi kunyonywa????????
 
Wana walamba miguu waingereza Lord Delamere anamiliki nusu ya nchi ya Kenya. Hayo mambo Mwalimu Nyerere alikataa huku kwetu.
then huyu mkenya anafurahi kuwa na wazungu wengi nchi mwao,.hawajui kuwa huwa hawataki mazoea
 
we have alot of white people in Kenya btw and their presence wont change our cultural values especially from where in live in the city so,if you hate them you are nothing but racist people from tz. I live with many white people in apartments so just be content with it,we love whites and my girlfriend is white too!

We don't hate wazungu but we don't make them superior in our own land the way you guys do.
 
teh teh
mnajivunia kuwa na wazungu wengi then masikini wa kutupwa...........mko vizuri kiakili kweli??mzungu sio mtu wa kumfurahia akiwa nchini kwako,.wanyonyaji wale,.nyi mnafurahi kunyonywa????????
Total ni ya mTz?
 
Dont be racist.we have had good relationships with them and they wont go away period!They are kenyans and the whole city is flooded with whites,say no to racism!!
 
Dont be racist.we have had good relationships with them and they wont go away period!They are kenyans..
It's not about race here it's about valuing your wealth, can a Kenyan own half of England?
 
We don't hate wazungu but we don't make them superior in our own land the way you guys do.
Halafu wewe hiyo avatar yako huniacha hoi, hivi ni picha yako au umeweka tu. Yaani mrembo kweli hadi naipenda.
Now back on the topic at hand, you don't hate Wazungu but you've allowed them to consume all your resources. Your country is the richest as far as natural resources are concerned, but still ranks among the poorest countries in Africa.

The Whites, Indians, Chinese and Arabs are busy gobbling everything from your land while the rest of you are still sleeping behind ujamaa tendencies which makes you really lazy and moribund.
 
Its huge land that is acquired on a leasehold basis that is gonna be renewed after the expiry of 99 years from the date of registration of title.
 
Kwa huyu presidaa wa tz anaetaka ukomunist itakua ngumu sana kuwafikia maana JPM anachukia matajiri hana mahusiano mazuri nao ana wa treat harshly kwa kauli na vitendo sasa hiyo tanzania ya viwanda watajenga maskini? Kazi tunayo tukiendelea na hizi sera za kijamaa tuta marktime hadi tukome.Ila wakenya jueni kua kwenye Transport&Logistics industry Tz ni dorminant east,central and southern africa so tunakuja

This BRT thing has really made some illiterate Tanzanians bulge their egos. Funny a BRT is being constructed in Nairobi right now yet we are all quiet on it since we understand it's no big deal.
 
Halafu wewe hiyo avatar yako huniacha hoi, hivi ni picha yako au umeweka tu. Yaani mrembo kweli hadi naipenda.
Now back on the topic at hand, you don't hate Wazungu but you've allowed them to consume all your resources. Your country is the richest as far as natural resources are concerned, but still ranks among the poorest countries in Africa.

The Whites, Indians, Chinese and Arabs are busy gobbling everything from your land while the rest of you are still sleeping behind ujamaa tendencies which makes you really lazy and moribund.

Asante sana MK254, sio mimi tu, madu wote wa TZ ni warembo. The mistakes happened on contraction of agreements on mining business, it's a lesson learned and are working on it. The Ujamaa helped us in a way each one of us is a land owner by birth in their places of birth. Currently education is free up to STD 7 and that can assure every Tanzanian is able to read and write in Kiswahili.
 
Back
Top Bottom