Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kila mradi wa serikali huwa inachelewa na gharama.lazima ziongezeke kwa sababu za riba..Mradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana. Lakini pia usimamizi wa Wizara na idara za serikali si wakuridhisha. Mradi unavyochukua muda mrefu ndivyo gharama uongezeka. Niwaombe JMT tukimbizane imalizike Kwa wakati .
Lakini pia nimpongeze Mhe. Rais Kwa kupata fedha za mwendokasi awamu ya sita. Natamani kuona barabara inayotoka mjini kwenda airpot to Chanika inapewa kipaombele Kwa Sasa Kwa Sasa itasaidia kisarawe kupanuka, itasaidia kufungua milango ya biashara ukanda huo na kukuza Pato la mwananchi na Taifa
Pesa tunazo nyingi Sana shida yenu mnashindia pono badala ya kutafuta habari za uhakika.Awamu ya 6 imekataa pesa na kodi za dhuluma.
tunajenga kwa pesa halali lbd ndio maana unaona speed imepunguwa
Dhuluma inamwisho mbaya
Yaani nakwambia awamu hii ni miujiza tu inatokea.Pesa tunazo nyingi Sana shida yenu mnashindia pono badala ya kutafuta habari za uhakika.
Kwa taarifa yako,hadi mwezi January Wizara zinazotekeleza miradi mikubwa zimepokea wastani wa 50% ya bajeti zao,kinyume na miaka ya nyuma ambapo utekelezaji wa bajeti ulikuwa haufiki hata 75%.Mfano wizara ya ujenzi hadi sasa ina 55% .
Sekta ya ujenzi niliko mimi hadi sasa utekelezaji wa bajeti tuko 60%,haijawahi tokea,waulize wakandarasi watakupa majibu zaidi.
Nashukuru unatoka kwenye sekta husika, tusaidie mambo mawili kupanua uelewaPesa tunazo nyingi Sana shida yenu mnashindia pono badala ya kutafuta habari za uhakika.
Kwa taarifa yako,hadi mwezi January Wizara zinazotekeleza miradi mikubwa zimepokea wastani wa 50% ya bajeti zao,kinyume na miaka ya nyuma ambapo utekelezaji wa bajeti ulikuwa haufiki hata 75%.Mfano wizara ya ujenzi hadi sasa ina 55% .
Sekta ya ujenzi niliko mimi hadi sasa utekelezaji wa bajeti tuko 60%,haijawahi tokea,waulize wakandarasi watakupa majibu zaidi.
Hii ni kwenye makaratasi? Maana huku field hakuna tunachokiona. Au zinaishia kwa wala urefu wa kamba??Pesa tunazo nyingi Sana shida yenu mnashindia pono badala ya kutafuta habari za uhakika.
Kwa taarifa yako,hadi mwezi January Wizara zinazotekeleza miradi mikubwa zimepokea wastani wa 50% ya bajeti zao,kinyume na miaka ya nyuma ambapo utekelezaji wa bajeti ulikuwa haufiki hata 75%.Mfano wizara ya ujenzi hadi sasa ina 55% .
Sekta ya ujenzi niliko mimi hadi sasa utekelezaji wa bajeti tuko 60%,haijawahi tokea,waulize wakandarasi watakupa majibu zaidi.
1.Kwanza sina uhakika kama fedha zilikuwa hazitengwi kwenye bajeti,hili sijawahi liona vinginevyo kungekuwa hakuna haja ya ku table bajeti za Wizara na Serikali.Nashukuru unatoka kwenye sekta husika, tusaidie mambo mawili kupanua uelewa
1. Fedha miradi zimetengwa kwenye budget na zimeshatolewa Kwa kiwango hicho? Maana awali fedha za miradi hii zilikuwa hazisomwi kwenye budget sijui Kwa Sasa kama utaratibu umebadilika
2. Ni kwanini speed imepungua wakati fedha zimeshatengwa kw kiwango hicho? Kwanini Mawaziri wasiwalazimishe wakandarasi kuongeza speed? Mfano nakuja Dsm mara Kwa mara sioni barabara ya kimara kibaha ikikamilika wala kuona wakandarasi wakiwa site Kwa wingi ule zaidi ya mwaka Sasa. Tatizo ni Nini?
Hatuwezi tukafanya Jambo gharama zisiongezeke kwa mradi kutekelezwa nje ya muda?
Kuhusu COVID, naombeni mtusaidie uhusiano wa COVID na miradi hii Kwa Leo tunavyozungumza maana Nchi haipo kwenye lockdown
Labda wewe huna macho,ukiwa kipofu huwezi kuona..Hii ni kwenye makaratasi? Maana huku field hakuna tunachokiona. Au zinaishia kwa wala urefu wa kamba??
Dohhh unasema wanashindia pono HahahaPesa tunazo nyingi Sana shida yenu mnashindia pono badala ya kutafuta habari za uhakika.
Kwa taarifa yako,hadi mwezi January Wizara zinazotekeleza miradi mikubwa zimepokea wastani wa 50% ya bajeti zao,kinyume na miaka ya nyuma ambapo utekelezaji wa bajeti ulikuwa haufiki hata 75%.Mfano wizara ya ujenzi hadi sasa ina 55% .
Sekta ya ujenzi niliko mimi hadi sasa utekelezaji wa bajeti tuko 60%,haijawahi tokea,waulize wakandarasi watakupa majibu zaidi.
Hebu punguza kulalamikaMradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana. Lakini pia usimamizi wa Wizara na idara za serikali si wakuridhisha. Mradi unavyochukua muda mrefu ndivyo gharama uongezeka. Niwaombe JMT tukimbizane imalizike Kwa wakati .
Lakini pia nimpongeze Mhe. Rais Kwa kupata fedha za mwendokasi awamu ya sita. Natamani kuona barabara inayotoka mjini kwenda airpot to Chanika inapewa kipaombele Kwa Sasa Kwa Sasa itasaidia kisarawe kupanuka, itasaidia kufungua milango ya biashara ukanda huo na kukuza Pato la mwananchi na Taifa
Bila shaka serikali imeupokea ushauri wangu na kuufanyia kazi. Mm nilishauri kuwa hii miradi ni mingi Sana hatuwezi kwenda nayo yote. Minginegine iachweMradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana.
Awamu ya 6 imekataa pesa na kodi za dhuluma.
tunajenga kwa pesa halali lbd ndio maana unaona speed imepunguwa
Dhuluma inamwisho mbaya
Yaani Wizara yako ya UJENZI imepewa Budget ya 55% lkn unasema hadi sasa mmetekeleza 60%Pesa tunazo nyingi Sana shida yenu mnashindia pono badala ya kutafuta habari za uhakika.
Kwa taarifa yako,hadi mwezi January Wizara zinazotekeleza miradi mikubwa zimepokea wastani wa 50% ya bajeti zao,kinyume na miaka ya nyuma ambapo utekelezaji wa bajeti ulikuwa haufiki hata 75%.Mfano wizara ya ujenzi hadi sasa ina 55% .
Sekta ya ujenzi niliko mimi hadi sasa utekelezaji wa bajeti tuko 60%,haijawahi tokea,waulize wakandarasi watakupa majibu zaidi.
Labda wewe huna macho,ukiwa kipofu huwezi kuona..
Miradi mikubwa sio sawa na madarasa lazima quality control ifanyike inavyostahili.👇
View attachment 2117305
View attachment 2117306
View attachment 2117307
View attachment 2117308
View attachment 2117309
View attachment 2117310
View attachment 2117311
View attachment 2117312
View attachment 2117313
Hata hizo flyover za Chang'ombe na uhasibu ikiwa ni pamoja na mwendo kasi Mbagala naona ni ujinga ujinga tu! Ngoja liende kila siku miforeni hapo hawamalizi hata upande mmoja wa flyover haujaisha siku zote hizo wakati JPM kwacha ujenzi umeshaanza!Serikali haina uthibiti mzuri wa fedha kwani wizi kwenye hii miradi mikubwa umekithiri!! Rais Samia muda si mrefu utaanza Kulia Kwani watamletea invoice za malipo yenye gharama kubwa sana kwa sababu ya ongezeko ya gharama za hiyo miradi [Cost overruns]!! Itakuwa bahati sana kama serikali haitastakiwa na hawa wanaojenga hiyo miradi mikubwa hasa bwawa la Mwalimu Nyerere!!
Huu ndio mradi au? Utakalia makatuni hayo hayo hadi upauke