Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kweli mkuu, tuna kasumba ya kuamini kila mtu lazima aanze maisha 0, kila mtu lazima ataabike kwenye utafutaji. Ni roho ya kisasi tu kwamba kama mimi nimefanikiwa kwa shida basi ni lazima anaenifuata nae afanikiwe kwa shida. Hata maofisini hali ni iyo iyo kama supervisor wako hakua analipwa vizuri kipindi cha nyuma akiwa ngazi ya chini kama wewe basi nae atataka kuwapunja malipo waliopo ngazi ya chini hata kama pesa wa kuwalipa vizuri ipo.Hizi akili za kijinga ndio zinasababisha baadhi ya jamii hapa Afrika zizidi kubaki kwenye umasikini
Acha kufananisha utajiri wa Rockefeller na kina MengJamii isiyojitambua ndiyo hukaa kusubiri urithi. Jaribu kusoma mamilionea wengi wa majuu wanavyogawa mali zao kwa charities na kuwaachia watoto kidogo sana. Urithi mzuri kabisa kwa watoto ni elimu nzuri na malezi mazuri.
Urithi hauhesabiwi kwa mali alizocha marehem tu. In fact urithi mzuri ni ule unaomfanya mtoto wajipatie malie yake mwenyewe. Kuna familia nyingi zilizogombana na kuparanganyika kwa sababu ya mali za urithi.Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
Kwa hiyo urithi si mali alizoacha marehemu? Punguza jazbaUrithi hauhesabiwi kwa mali alizocha marehem tu. In fact urithi mzuri ni ule unaomfanya mtoto wajipatie malie yake mwenyewe. Kuna familia nyingi zilizogombana na kuparanganyika kwa sababu ya mali za urithi.
Hii bible inaitwaje Mkuu nidownloadHebu tumsikilize Prof. Suleiman
View attachment 2972678
Kweli wewe ni m'bongo typically. Wabongo huwa tuna tabia ya kukurupuka kujibu jambo mablo wala haliko kwenye mjadala.Acha kufananisha utajiri wa Rockefeller na kina Meng
Ni jukumu Na wajibu la mzazi kuhakikisha viumbe anaowaleta duniani wanakua wako katika Hali nzuri aWategemezi na wao si wanatafuta vya kwao kama na wewe ulivyotafuta?
hii tabia ya kubweteka na kutegemea mali za marehemu wafrica tuachane nayo
Jibu bovu hilo! Andika kwa busara. Iwapo hutamjenga mtoto wako kutengeza mali yake mwenyewe na kumwacha ategemee mali yako hujamwachia urithi wowote.Kwa hiyo urithi si mali alizoacha marehemu? Punguza jazba
Elewa hoja Dada. Acha kuweka vitu vyako ndani ya mada ya watuJibu bovu hilo! Andika kwa busara. Iwapo hutamjenga mtoto wako kutengeza mali yake mwenyewe na kumwacha ategemee mali yako hujamwachia urithi wowote.
Eeh nimecheka Subaru kweli aiseeHivi yule mtoto wa Monalisa mwenye sauti kama Subaru kaishia wapi?
Sio urithi huo.Elimu na malezi ni jukumu lakini hapo hapo ni urithi.
kama unaweka "mada yako" hutaki watu wachangie uweke wazi hivyo; na uandika vizuri. Unapodai celebrity anawaacha watoto wangawana makochi na Harrie kuukuu ni kwa sababu una maana hakuwaachia mali nyingine za kugawana; ungekuwa specific.Elewa hoja Dada. Acha kuweka vitu vyako ndani ya mada ya watu
Umeandika nn hapa?kama unaweka "mada yako" hutaki watu wachangie uweke wazi hivyo; na uandika vizuri. Unapodai celebrity anawaacha watoto wangawana makochi na Harrie kuukuu ni kwa sababu una maana hakuwaachia mali nyingine za kugawana; ungekuwa specific.
Wahindi na warabu wanategemea urith wa wazazi wao na ndo matajiri TanzaniaNarudia tena: jamii isiyojitambua ndiyo inakaa kutegemea urithi wa wazazi.
Malezi unasema ni urithi unaakili ndogo sanaElimu na malezi ni jukumu lakini hapo hapo ni urithi.
Malezi na elimu bora vinaweza kuwa urithi bora kuliko mali. Najua watu wa shule za kata mmezoea kukariri hivyo huwa mnataka mfanano wa neno kwa neno.Malezi unasema ni urithi unaakili ndogo sana
Baki huko huko Tanzania kwako na shule zako za kata.Wahindi na warabu wanategemea urith wa wazazi wao na ndo matajiri Tanzania
Unaongelea facts au hisia
Future ya watoto inatengenezwa na Wazazi,huoni akina Husein Mwinyi na Ridhiwan.Wewe ishi na mentality za kale!watoto nao watafute maisha yao wasisubiri urithi
Hili ni la muhimu, wape watoto haki yao ya msingi kama elimu iwakomboe kifikra itawasaidia.watoto nao watafute maisha yao wasisubiri urithi