Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kweli mkuu, tuna kasumba ya kuamini kila mtu lazima aanze maisha 0, kila mtu lazima ataabike kwenye utafutaji. Ni roho ya kisasi tu kwamba kama mimi nimefanikiwa kwa shida basi ni lazima anaenifuata nae afanikiwe kwa shida. Hata maofisini hali ni iyo iyo kama supervisor wako hakua analipwa vizuri kipindi cha nyuma akiwa ngazi ya chini kama wewe basi nae atataka kuwapunja malipo waliopo ngazi ya chini hata kama pesa wa kuwalipa vizuri ipo.Hizi akili za kijinga ndio zinasababisha baadhi ya jamii hapa Afrika zizidi kubaki kwenye umasikini