Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

Hizi akili za kijinga ndio zinasababisha baadhi ya jamii hapa Afrika zizidi kubaki kwenye umasikini
Kweli mkuu, tuna kasumba ya kuamini kila mtu lazima aanze maisha 0, kila mtu lazima ataabike kwenye utafutaji. Ni roho ya kisasi tu kwamba kama mimi nimefanikiwa kwa shida basi ni lazima anaenifuata nae afanikiwe kwa shida. Hata maofisini hali ni iyo iyo kama supervisor wako hakua analipwa vizuri kipindi cha nyuma akiwa ngazi ya chini kama wewe basi nae atataka kuwapunja malipo waliopo ngazi ya chini hata kama pesa wa kuwalipa vizuri ipo.
 
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.

NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
Urithi hauhesabiwi kwa mali alizocha marehem tu. In fact urithi mzuri ni ule unaomfanya mtoto wajipatie malie yake mwenyewe. Kuna familia nyingi zilizogombana na kuparanganyika kwa sababu ya mali za urithi.
 
Kwa hiyo urithi si mali alizoacha marehemu? Punguza jazba
 
Jibu bovu hilo! Andika kwa busara. Iwapo hutamjenga mtoto wako kutengeza mali yake mwenyewe na kumwacha ategemee mali yako hujamwachia urithi wowote.
Elewa hoja Dada. Acha kuweka vitu vyako ndani ya mada ya watu
 
Elewa hoja Dada. Acha kuweka vitu vyako ndani ya mada ya watu
kama unaweka "mada yako" hutaki watu wachangie uweke wazi hivyo; na uandika vizuri. Unapodai celebrity anawaacha watoto wangawana makochi na Harrie kuukuu ni kwa sababu una maana hakuwaachia mali nyingine za kugawana; ungekuwa specific.
 
Um

Umeandika nn hapa?
 
Back
Top Bottom