kariobangii
JF-Expert Member
- Jul 21, 2023
- 515
- 671
acha uongo weweKwa mafundisho ya kiislamu huyo kobe kafanya makosa makubwa mno
kwani hapa habari inahusu kuwatunza wazazi au kukosa fungu la mirathiKatika uislamu kuwatunza wazazi ni lazima na sio ombi kutokufanya hivyo ni dhambi kubwa itakayokufanya uingie jahanam.......
Mwenyezi haikubali ibada ya mtu asiyewatendea wema wazazi wake............
wewe ndiye unaongea utumboUnaongea utumbo wakati wewe ni muislamu kabisa
Wewe ni dini gani?wewe ndiye unaongea utumbo
ni wapi uislam umewataja wazazi Kama warithi?
ni fungu lipi la mirathi wanarithi wazazi?
acha maswali yasiyo na kichwa wala miguuWewe ni dini gani?
Kwanini unakwepa kujibu?acha maswali yasiyo na kichwa wala miguu
nionyeshe dalili katika uislam fungu la wazazi katika mirathi ya mtoto wao..
porojo hazina nafasi
nakwepa mm au wewe?Kwanini unakwepa kujibu?
Nimekuuliza wewe ni dini gani? Ukinijibu dini yako nitakupa jibunakwepa mm au wewe?
narudia kwa mara ya mwisho ni wapi katika mirathi ya kiislam wazazi wamepewa fungu?
kama hujui kitu kaa kimya usipotoshe
You nailed it. Kama wazazi waliishi vyema na mkwe wao hawawezi kosa dola, yaani hata wajukuu wasikuangalie, basi kuna mahali unakoseaSasa unalaumu nn hapo?
Wazazi walikuwa na maisha yao wakamzaa kobe.
Kobe akawa na maisha yake akatengeneza familia yake, maana yake kobe akawa kizazi kingine mbele.
Sasa mzazi anahusikaje hapo zaidi ya hisani tu?
Yaani nisiipende familia yangu kwa sababu ya mzazi wangu?
Mzazi anatakiwa kuwa mpenzi mtazamaji..
Anajukumu la kupenda mkwe wake na wajukuu pia, akitimiza hilo atapendwa na familia yote na hizo offer atapata tu, kama si kwangu basi kwa mke wangu au wajukuu zake.
Wajibu kwa sheria gani? Kwa kanuni gani?Sio principle, ni wajibu wa watoto kuwatunza Wazazi wao. Hivi mkuu, Mzee wako akiumwa, wewe hutamuuguza!?