Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

Huna mtoto wewe eti mpenzi mtazamaji .
....hta wewe utazeeka na unakuta umefanya effort ila pesa ulilipia ada watoto na wakipata baadae wasikuangalie wewe Uwe mpenzi mtazamaji ni wao na wake zao tu how will you feel?fucking ushauri....
Nishaanza kuzeeka na siogopi hilo.
Ndivyo dunia ilivyo.
Usiweke matumaini sana kwa wanao utakufa kihoro.
Nawapenda wanangu so nahitaji pia upendo kutoka kwao.
Nikisema upendo simaanishi upendo wa kiuchumi.
Maisha yangu nimeshayazoea, sihitaji ndege wala gari uzeeni. Kwakifupi nshazeeka sina hayo matumizi nahitaji upendo tu
 
Hakuna kosa ni sahihi kabisa kama hao wazazi ni wema basi wajukuu watawatunza
 
Could be Kobe mwenyewe walimuua kwa kumuwekea bomu kwenye ndege ingawa walificha kicho kitu ili watu wagawane
 
Maji hayapandi mlima.
Mara zote maji hutiririka chini.
Kumsaidia mzazi si lazima. Mzazi ndiye ana ulazima wa kumwinua mtoto wake.
Mfano mmezaliwa 4 , Mzazi au wazazi wamewa somesha wote, sasa wewe na wenzio mnashindwa kuirudisha kidogo Kwa wazazi wenu yaani mama na Baba
 
Sheria za Kiislam ni sheria za jamii ya kizamani sana, mtu ukichuma mali zako hupaswi kupangiwa matumizi yake.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kutunza wazazi ni hisani tu, sio wajibu.
Wazazi wanatakiwa watafute pesa zao wawaachie watoto wao urithi.
Kwanini umpe Mzazi mzigo huo kama kuna mazingira ambayo, yalimsababisha, ashindwe kuweka kiwango cha kutosha au cha kuboresha zaidi Maisha yake.
 
Kobe Bryant alikuwa Mkatoliki kama sikosei.

Kwa Wakatoliki, kuna amri ya Mungu inayosema " Waheshimu wazazi wako upate miaka mingi na heri duniani".

Mtoto anayekuwa na kiburi na dharau Kwa wazazi mara nyingi haishii vizuri...!
 
Hii sio sawa especially kama mungu amekujalia ukwasi si mbaya wazazi wako ukawajali na kuwahudumia mahitaji yao muhimu.
 
Mfano mmezaliwa 4 , Mzazi au wazazi wamewa somesha wote, sasa wewe na wenzio mnashindwa kuirudisha kidogo Kwa wazazi wenu yaani mama na Baba
Tatizo lako unashindwa kuelewa kanuni, watoto kusaidia wazazi ni hisani tu na hisani hailazimishwi, wazazi kulelea watoto ni wajibu na wajibu unaweza kulazimishwa hadi kisheria ukionekana hutekelezi wajibu wako ipasavyo.
 
Ngozi nyeusi ni kasheshe kila pahala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…