Hivi umesoma vizuri comment yake au unakurupuka.Ni wajibu wa kisheria na maadili wazazi kulea na kutunza watoto wanaowazaa, sio wajibu wa watoto kutunza waliowazaa, ni hisani tu. Ndio maana mzazi anaweza kupelekwa mahakamani akaamriwa na mahakama kisheria kutoa matunzo ya mtoto ila mtoto hawezi kupelekwa mahakamani akaamriwa kutoa matunzo ya wazazi au ndugu.
Yoda hii sentenso ikukae kichwani.......
Tunafika pahali tulipo ndugu na wazazi wakiwa wamepambana kwa jasho na damu tena kwa kuuza mali zao, tena kwa kujinyima kula na kuvaa.
.......
Hilo neno ni pana sana. Utajifanya unampenda mtu ambaye analala njaa wakati wewe unasaza?Nishaanza kuzeeka na siogopi hilo.
Ndivyo dunia ilivyo.
Usiweke matumaini sana kwa wanao utakufa kihoro.
Nawapenda wanangu so nahitaji pia upendo kutoka kwao.
Nikisema upendo simaanishi upendo wa kiuchumi.
Maisha yangu nimeshayazoea, sihitaji ndege wala gari uzeeni. Kwakifupi nshazeeka sina hayo matumizi nahitaji upendo tu
Watoto wa 2000 wanadhani pesa unadowload tuJitahidi kuuliza maswali ya maana kidogo basi mkuu. Tumia vizuri akili ndogo uliyonayo kuuliza vitu vya kueleweka.
Lakini watoto wa njee wa mwanamke amna kurithi mali ya Mme ambae sio baba yao[emoji854][emoji854][emoji854]Grudges , grudges, grudges.............she hold those for a loooooong time .
Ila sheria za kiislamu tamu sana kwa sababu kwenye mirathi hadi wazazi wapo pia mfano mume anaweza rithiwa na mke wake, watoto wake , wazazi wake na kuna muda hadi ndugu baadhi upande wa mume wanarithi na kwa mke vivyo hivyo.
Na kuwatunza wazazi wawili ni jukumu la lazima la mtoto as long as upo hai na kushindwa kufanya hivyo ni madhambi makubwa mno.
Mkuu usichanganye mambo.Kobe Bryant alikuwa Mkatoliki kama sikosei.
Kwa Wakatoliki, kuna amri ya Mungu inayosema " Waheshimu wazazi wako upate miaka mingi na heri duniani".
Mtoto anayekuwa na kiburi na dharau Kwa wazazi mara nyingi haishii vizuri...!
Ni kweli kusaidia wazazi inaweza kuwa hisani lakini je si vyema kusaidia wazazi waliokulea?Kutunza wazazi ni hisani tu, sio wajibu.
Wazazi wanatakiwa watafute pesa zao wawaachie watoto wao urithi.
Hii inafaa zaidi Uarabuni labda na kwa Wahindi ambako mali huwa zinatafutwa zaidi na kumilikiwa kifamilia, kiukoo au kijamii. Mtu aliyezitafuta pesa zake mwenyewe huwezi kumpangia mlolongo wote huo, yeye mwenyewe kwa utashi wake ndiye ataamua anagawaje urithi wake.mirathi.
Aya tulizozirejea (4:11-12) zimetaja kwa uwazi na kwa ukamilifu watu wenye kurithi na mafungu yanayorithiwa. Wenye kurithi kwa wanaume ni kumi na tano (15). Watu hao ni:
1. Mtoto mwanamume
2. Mtoto mwanamume wa mtoto mwanamume (mjukuu)
3. Baba
4. Baba wa kwa baba
5. Ndugu mwanamume wa kwa baba na mama
6. Ndugu mwanamume wa kwa baba tu
7. Ndugu mwanamume wa kwa mama tu.
8. Mtoto mwanamume wa kwa ndugu mwanamume wa kwa baba na mama
9. Mtoto mwanamume wa ndugu mwanamume wa kwa baba tu
10. Ami (baba ndogo) wa kwa baba na mama (ndugu yake baba).
11. Ami wa kwa baba tu
12. Mtoto mwanamume wa Ami wa kwa baba na mama
13. Kijana mwanamume wa ami wa kwa baba
14. Mume
15. Bwana mwenye kumwacha mtumwa huru.
Wenye kurithi katika wanawake ni kumi (10) wafuatao:
1. Binti (mtoto mwanamke)
2. Binti wa mtoto mwanamume (mjukuu)
3. Mama
4. Dada wa kwa baba na mama
5. Dada wa kwa baba
6. Dada wa kwa mama
7. Bibi mzaa baba
8. Bibi mzaa mama
9. mke
10. Bibi mwenye kuacha mtumwa huru.
Nyie ndio hamuelewi maisha.Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake.
Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions of Money and his parents are broke? This life is not fair.
Kobe Bryants parents are broke. His dad was forced to auction off the ring Kobe gave him in the year 2000 ili apate hela ya ku survive huku mkewe na Kobe kapewa mirathi ya dola milioni 600 ambazo kobe kaacha bank.
Hata watoto wa nje wa mume hawarithi mali ya mama mbona ina make sense sana hii.Lakini watoto wa njee wa mwanamke amna kurithi mali ya Mme ambae sio baba yao[emoji854][emoji854][emoji854]
HA HA HA uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa ALLAH[ the almighty] Mola wa vyote vilivyomo , sasa yeye ndo kaweka hesabu za hivyo na ikiwa wewe ni muislamu utafuata ima kwa kupenda au kutopenda IKIWA WEWE NI MUISLAMU.Sheria za Kiislam ni sheria za jamii ya kizamani sana, mtu ukichuma mali zako hupaswi kupangiwa matumizi yake.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hapa kwenye issue ya Kobe sheria za Marekani hususan jimbo alilokaa Kobe ziko relevant kuliko sheria za Kiislamu.HA HA HA uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa ALLAH[ the almighty] Mola wa vyote vilivyomo , sasa yeye ndo kaweka hesabu za hivyo na ikiwa wewe ni muislamu utafuata ima kwa kupenda au kutopenda IKIWA WEWE NI MUISLAMU.
KWENDA KINYUME NA HAPO NI KUJITAFUTIA MADHAMBI BURE BURE TU.
daaaahMtu mwenyewe kobe ulitegemea nini
Hakuna sheria duniani inaoishinda sheria za uislamHapa kwenye issue ya Kobe sheria za Marekani hususan jimbo alilokaa Kobe ziko relevant kuliko sheria za Kiislamu.
Kwa sababu Kobe Bryant hakuwa Muislamu.
Msitake kulazinisha sheria za Uislamu hata pale ambapo hazihusiki.
Haya unayotaka kuleta hapa ni mambo ya ugaidi wenu sasa.Hakuna sheria duniani inaoishinda sheria za uislam
Hata mbowe aliitwa gaidi. Unasemaje hapo?Haya unayotaka kuleta hapa ni mambo ya ugaidi wenu sasa.
Ukilazimisha ulimwengu ambao hautambui Uislamu kutumia sheria za Uislanu kwa nguvu na vitisho, wewe ni gaidi tu.