Logical non sequitur.Hata mbowe aliitwa gaidi. Unasemaje hapo?
Wabongo na watu wenye fikra za kimasikini wengi hawawezi kukuelewa.Sasa unalaumu nn hapo?
Wazazi walikuwa na maisha yao wakamzaa kobe.
Kobe akawa na maisha yake akatengeneza familia yake, maana yake kobe akawa kizazi kingine mbele.
Sasa mzazi anahusikaje hapo zaidi ya hisani tu?
Yaani nisiipende familia yangu kwa sababu ya mzazi wangu?
Mzazi anatakiwa kuwa mpenzi mtazamaji..
Anajukumu la kupenda mkwe wake na wajukuu pia, akitimiza hilo atapendwa na familia yote na hizo offer atapata tu, kama si kwangu basi kwa mke wangu au wajukuu zake.
Kobe mwenyewe amekufa kwa ajali ya ndege, bado kijana mdogo sasa huo wosia ungetokea wapi?Sasa unalaumu nn hapo?
Wazazi walikuwa na maisha yao wakamzaa kobe.
Kobe akawa na maisha yake akatengeneza familia yake, maana yake kobe akawa kizazi kingine mbele.
Sasa mzazi anahusikaje hapo zaidi ya hisani tu?
Yaani nisiipende familia yangu kwa sababu ya mzazi wangu?
Mzazi anatakiwa kuwa mpenzi mtazamaji..
Anajukumu la kupenda mkwe wake na wajukuu pia, akitimiza hilo atapendwa na familia yote na hizo offer atapata tu, kama si kwangu basi kwa mke wangu au wajukuu zake.
Ulaya unakuta anapewa, hata Bongo, mama akikukalia kichwani na rejea za bongo zipo nyingi Tu.Lakini watoto wa njee wa mwanamke amna kurithi mali ya Mme ambae sio baba yao[emoji854][emoji854][emoji854]
David Beckham, Andy Murray wote wamewasaidia mama zao,Ni kweli kusaidia wazazi inaweza kuwa hisani lakini je si vyema kusaidia wazazi waliokulea?
Wazazi wanapambana lakini pengine wanaweza wasifanikiwe sana kiuchumi pamoja na jitihada. Je, si vyema kumsaidia mama au baba mwenye uhitaji?
Kobe alikuwa mtu poa sana sifahamu hii inekuwa vipi tena hii.
1. Children don’t owe their parents a good life. Parents are the ones who owe their children a good life. Why? Because it’s the parents who choose to bring kids into the world. You choose to bring a life into this world, you’re responsible for it.Nyie ndio hamuelewi maisha.
Mzazi ana wajibu wa kulea mtoto, mtoto hana wajibu wa kulea mzazi. Ikitokea mtoto kalea mzazi, vizuri. Ikitokea mtoto kajikita zaidi kulea watoto wake wazazi kawaacha, hiyo pia ni haki yake. Mzazi hatakiwi kumuacha mtoto, hususan akiwa mdogo, lakini mtoto ana uhuru wa kuwa karibu na mzazi au kujiengua aende na maisha yake.
Na urithi ni jambo la hiyari. Kobe Bryant angeweza kumpa mke wake pasu la mali na kugawa mali zake kwa watoto masikini.
Hakulazimika hata kuwaachia watoto wake urithi. Angeweza kusema nyie watoto siwaamini, nikiwapa mali mtazitapanya, nazigawa kwa watoto yatima ambao watazitumia vizuri, ni haki yake. Mali yake, yeye bdiye anaamua itumike vipi. Ukitaka kumpa baba yake Kobe mali, tafuta zako.
Licha ya hayo, urithi ni kwa watoto. Wazazi wanarithisha watoto.
Baba yake Kobe Bryant, Joseph Bryany, alikuwa mchezaji wa basketball wa NBA (Philadelphia, San Diego, Houston) na kimataifa. Yeye ndiye kamrithisha Kobe kucheza basketball. Baba Kobe kacheza mpaka Italy na France, Kobe kakulia Italy mpaka Kitaliano alikuwa anaongea. Sasa baba yake Kobe kashindwaje kujipanga miaka yote hiyo aliyocheza basketball NBA, Italy na France?
Mnajuaje uhusiano wa Kobe na baba yake ulikuwaje? Mnajuaje kama walikuwa na beef?
Kwa nini mnataka kuwafanya watoto kuwa ni mafao ya uzeeni?
Hizi tabia za watoto kutumiwa na wazazi kama mafao ya uzeeni ni ushamba, umasikini na ujinga. Tunaona watoto wengine wanakufa kabla ya wazazi wao, sasa ukitegemea mtoto atakufaa uzeeni, halafu akafariki kabla yako, hapo utafanyaje uzeeni?
Proved
US Baba yake Micheal Jackson, aliwasimamia watoto kutoka kuomba choir kanisani Hadi kufika walipo fika, Dolly Parton alianzia kuimba kwenye. Pub, mpaka alipofikia tena anacwbo moja anaomba kuhusu gauni lenye viraka, na enzi hizo walizaliwa wengi. Tumeona Baba yao Venus na Serena Williams akiwasimamia mabinti zake mpaka wakafika hapo.Tiger Woods na wengine wengi, labda Basketball ball hauhitaji nguvu za wazazi kufikia hapo Kobe alipofikia.Wabongo na watu wenye fikra za kimasikini wengi hawawezi kukuelewa.
Kwa sababu wao wanaona kuzaa ni uwekezaji wa kibiashara, kwamba unazaa mtoto kama kitegauchumi, kama mtumwa.
Nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja Mzanzibari, anawasema Wapemba. Anasema Wapemba wamechangamka sana kwenye biashara nje ya Pemba, lakini, ukienda Pemba, wanalemaa kwa kuzaa watoto wengi halafu wanawatumikisha wale watoto, kila mwezi watoto wanamchangia mzazi, mzazi anaishia kuoa mke wa pili na kuzaa watoto zaidi.
Kwa namna moja au nyingine watu masikini wengi, hususan wabongo, ndivyo wanavyowaona watoto hivyo, kama nguvukazi, kama kitegauchumi, kama mafao ya uzeeni.
Ile akili ya kwamba kila mtu anatakiwa kujiwekea akiba ya kumfaa uzeeni wengi hawana. Wengi wanaona watoto ndiyo akiba ya kuwafaa uzeeni.
Hii ni biashara ya utumwa kwa namna nyingine tu.
Matatizo mengi ya wabongo kuelewa hoja hizi, whether wanajua au hawajui, yana mizizi ya kidini.1. Children don’t owe their parents a good life. Parents are the ones who owe their children a good life. Why? Because it’s the parents who choose to bring kids into the world. You choose to bring a life into this world, you’re responsible for it.
2. Parents are also responsible for preparing for their later years. It’s not the responsibility of their children to take care of them.
3. Watu tunapenda sana kutolea maoni mambo ambayo undani wake hatuyajui.
Vipi kama Kobe aliwasaidia sana wazazi wake kifedha mpaka akachoka? Kuna watu wakiona wakiona kuna chanzo kirahisi cha pesa, wanakuwa tegemezi mpaka wanakera!
4. Familia huwa zina mambo mengi. Changamoto tele. Tunajuaje changamoto zote ambazo hiyo familia ilikuwa nazo zilizopelekea Kobe kutokuwa na uhusiano mzuri na wazazi wake?
Watu wanadhani mtu ukiwa mzazi basi wewe huwezi kukosea chochote kwa mtoto wako! Jambo ambalo si kweli.
5. Wazazi wa Kobe wala siyo wazee kivile. Sioni kwa nini wawe tegemezi kwa mtoto wao mmoja [wana watoto wengine pia]. Hawana kazi? Kama hawana kazi wakatafute kazi wafanye.
6. Kobe alikuwa anawajibika kuwapa maisha bora wanae aliowaleta hapa duniani. Period.
Ndiyo, kusaidia wazazi kama una uwezo ni jambo zuri.US Baba yake Micheal Jackson, aliwasimamia watoto kutoka kuomba choir kanisani Hadi kufika walipo fika, Dolly Parton alianzia kuimba kwenye. Pub, mpaka alipofikia tena anacwbo moja anaomba kuhusu gauni lenye viraka, na enzi hizo walizaliwa wengi. Tumeona Baba yao Venus na Serena Williams akiwasimamia mabinti zake mpaka wakafika hapo.Tiger Woods na wengine wengi, labda Basketball ball hauhitaji nguvu za wazazi kufikia hapo Kobe alipofikia.
Ki nadharia tunaweza kusema Mtoto Hana responsibility Kwa mzazi, lakini kiutu kama Una cha ziada ni vizuri nukawasaidia wazazi wako au hata Ndugu wengine.
Au kama Mzazi alikuwa na Nafasi ya kujiwekea akiba lakini aktumia Uhuru wake vibaya.
Mzazi ana wajibu wa kumpigania na kumlea mtoto wake afanikiwe, hao wote baba zao Kobe, Michael, Venus and Serena walifanya sawa.US Baba yake Micheal Jackson, aliwasimamia watoto kutoka kuomba choir kanisani Hadi kufika walipo fika, Dolly Parton alianzia kuimba kwenye. Pub, mpaka alipofikia tena anacwbo moja anaomba kuhusu gauni lenye viraka, na enzi hizo walizaliwa wengi. Tumeona Baba yao Venus na Serena Williams akiwasimamia mabinti zake mpaka wakafika hapo.Tiger Woods na wengine wengi, labda Basketball ball hauhitaji nguvu za wazazi kufikia hapo Kobe alipofikia.
Ki nadharia tunaweza kusema Mtoto Hana responsibility Kwa mzazi, lakini kiutu kama Una cha ziada ni vizuri nukawasaidia wazazi wako au hata Ndugu wengine.
Au kama Mzazi alikuwa na Nafasi ya kujiwekea akiba lakini aktumia Uhuru wake vibaya.
Pia, jambo zuri si lazima liwe jambo la lazima.Ndiyo, kusaidia wazazi kama una uwezo ni jambo zuri.
Lakini, mnaujua uhusiano aliokuwa nao Kobe na wazazi wake?
Mimi nina zungumzia dhima ya kawaida ya kibinadamu. Sasa ukienda hatua nyingine ya kwamba Baba au Wazazi hawakumtendea vizuri Mtoto au wanatabia ya kufanya mambo visivyo, Kwa sababu ya kuwepo kwake nao wanafanya matumizi visivyo kisa yupo Kobe au Mtoto wao , basi hapo tutahamia kwenye jambo Hilo au matendo hayo.Ndiyo, kusaidia wazazi kama una uwezo ni jambo zuri.
Lakini, mnaujua uhusiano aliokuwa nao Kobe na wazazi wake?
Hata kwenye dhima ya kawaida ya kibinadamu, inawezekana ubinadamu zaidi ni kumlea mtoto na kumuacha aishi maisha yake kwa uhuru.Mimi nina zungumzia dhima ya kawaida ya kibinadamu. Sasa ukienda hatua nyingine ya kwamba Baba au Wazazi hawakumtendea vizuri Mtoto au wanatabia ya kufanya mambo visivyo, Kwa sababu ya kuwepo kwake nao wanafanya matumizi visivyo kisa yupo Kobe au Mtoto wao , basi hapo tutahamia kwenye jambo Hilo au matendo hayo.
Na huo pia ni utamaduni wetu wa Afrika, na haswa wajibu wa mwanamume yoyote wa kiafrika aliye timamu. Kufanya vinginevyo kwa kweli ni kujitafutia laana tu. Katika amri kumi za Mungu, amri mojawapo ni kuwaheshimu Baba yako na Mama yako, ili siku zako zipate kuwa nyingi na zenye heri hapa dunianiKatika uislamu kuwatunza wazazi ni lazima na sio ombi kutokufanya hivyo ni dhambi kubwa itakayokufanya uingie jahanam.......
Mwenyezi haikubali ibada ya mtu asiyewatendea wema wazazi wake............
Afrika nzima wana utamaduni huo???Na huo pia ni utamaduni wetu wa Afrika, na haswa wajibu wa mwanamume yoyote wa kiafrika aliye timamu. Kufanya vinginevyo kwa kweli ni kujitafutia laana tu. Katika amri kumi za Mungu, amri mojawapo ni kuwaheshimu Baba yako na Mama yako, ili siku zako zipate kuwa nyingi na zenye heri hapa duniani
Msituchoshe na uislam wenu na nyie tunazungumzia kobe nyie mmekazana tu uislam utafikiri mnautu sasa kumbe magaidi tuKwa mafundisho ya kiislamu huyo kobe kafanya makosa makubwa mno
Basi hapo mwenyewe jitu jeusi unatamani kuwa mwarabu. Hongera ukifa kwenye uislamu utabadilika na kuwa mwarabu.Grudges , grudges, grudges.............she hold those for a loooooong time .
Ila sheria za kiislamu tamu sana kwa sababu kwenye mirathi hadi wazazi wapo pia mfano mume anaweza rithiwa na mke wake, watoto wake , wazazi wake na kuna muda hadi ndugu baadhi upande wa mume wanarithi na kwa mke vivyo hivyo.
Na kuwatunza wazazi wawili ni jukumu la lazima la mtoto as long as upo hai na kushindwa kufanya hivyo ni madhambi makubwa mno.