Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

Sasa unalaumu nn hapo?
Wazazi walikuwa na maisha yao wakamzaa kobe.
Kobe akawa na maisha yake akatengeneza familia yake, maana yake kobe akawa kizazi kingine mbele.
Sasa mzazi anahusikaje hapo zaidi ya hisani tu?
Yaani nisiipende familia yangu kwa sababu ya mzazi wangu?
Mzazi anatakiwa kuwa mpenzi mtazamaji..
Anajukumu la kupenda mkwe wake na wajukuu pia, akitimiza hilo atapendwa na familia yote na hizo offer atapata tu, kama si kwangu basi kwa mke wangu au wajukuu zake.
Huna mtoto wewe eti mpenzi mtazamaji .
....hta wewe utazeeka na unakuta umefanya effort ila pesa ulilipia ada watoto na wakipata baadae wasikuangalie wewe Uwe mpenzi mtazamaji ni wao na wake zao tu how will you feel?fucking ushauri....
 
Kobe yeye kwa nini hakuwapa ama kuwasaidia wazazi wake akiwa hai?

Mwanaume cha kwanza unachotakiwa kufanya ukifanikiwa ni ku uplift kwanza background yako kabla hujaamua kusimama mwenyewe.

How comes jamaa aliwaacha na kuwatelekez wazazi wake bila kuwainua?

Watu weusi wa ulaya wana malezi mabaya sana. Angalia Ronaldo, amepata pes acha kwanza ni nyumbani, kuinua watu wako, kuinua ndugu zako kisha unaamua kujiinua mwenyewe

Shida ilikua kwa kobe, alikua mtu wa hovyo.
 
Kobe yeye kwa nini hakuwapa ama kuwasaidia wazazi wake akiwa hai?

Mwanaume cha kwanza unachotakiwa kufanya ukifanikiwa ni ku uplift kwanza background yako kabla hujaamua kusimama mwenyewe.

How comes jamaa aliwaacha na kuwatelekez wazazi wake bila kuwainua?

Shida ilikua kwa kobe, ni mtu wa hovyo.
Una kitu Mkuu utafika mbali
 
Sasa unalaumu nn hapo?
Wazazi walikuwa na maisha yao wakamzaa kobe.
Kobe akawa na maisha yake akatengeneza familia yake, maana yake kobe akawa kizazi kingine mbele.
Sasa mzazi anahusikaje hapo zaidi ya hisani tu?
Yaani nisiipende familia yangu kwa sababu ya mzazi wangu?
Mzazi anatakiwa kuwa mpenzi mtazamaji..
Anajukumu la kupenda mkwe wake na wajukuu pia, akitimiza hilo atapendwa na familia yote na hizo offer atapata tu, kama si kwangu basi kwa mke wangu au wajukuu zake.
Una wazazi?
 
Wakati wa uhai wake waandishi wa habari walienda kwa wazazi wa Kobe na kufanya mahojiano kuhusu maisha ya star huyo na picha za zamani wakawaonesha.
Kobe alikasirika sana na hakuwasamehe wazazi wake mpaka anakufa.
Kulikuwa na shida gani wazazi kuonesha picha kwa waandishi? Au zilionesha "uhalisia" wa familia enzi hizo? Ha ha ha! Ila kama ndio ukweli why akasirike?
 
Hata hivyo huyu mdada mlatino kamvumilia Kobe sana. Kobe alimuoa akiwa na bado msichana mdogo wa miaka 18. Wazazi wa Kobe walimpinga sana. Watu wakisema ndoa haitadumu.

licha ya kobe kumcheat mara kwa mara alimvumilia. Watu walimshauri aombe talaka wagawane mali akakataa.
Sababu ya kifo cha huyo
3959_aquaimages.jpg

NI NINI? au umafia wa kimyakimya watu wabaki na mali?
 
Back
Top Bottom