CODE-04
JF-Expert Member
- Oct 17, 2023
- 961
- 2,716
Sio kwa level aliyopokuwa amefikia KobeMaji hayapandi mlima.
Mara zote maji hutiririka chini.
Kumsaidia mzazi si lazima. Mzazi ndiye ana ulazima wa kumwinua mtoto wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa level aliyopokuwa amefikia KobeMaji hayapandi mlima.
Mara zote maji hutiririka chini.
Kumsaidia mzazi si lazima. Mzazi ndiye ana ulazima wa kumwinua mtoto wake.
Mkuu,Sio kwa level aliyopokuwa amefikia Kobe
Kwani ww ndio Kiboko ya Jiwe?Mkuu,
Sasa unataka kumpangia Kobe jinsi ya kutumia mali zake?
Yani mali za Kobe, matumizi unataka kupanga wewe?
Kama unataka kujibizana na Kiboko ya Jiwe tu, mtumie PM.Kwani ww ndio Kiboko ya Jiwe?
Punguza Shobo.
SijakuelewaMama siyo mafundisho ya kiislamu ?
Mwanadamu hawezi kujitambua nje ya kuamini Mungu mmojaHaihitaji dini au kufunzwa shule umuhimu wa kuwatunza na kuwakirimu wazazi waliokuleta duniani,mtu yeyote anayejitambua hasubiri kuambiwa hilo.
Una mentality ya kikoloni na usipotazama wanao watakutenga kwa dhana yako hii ya mtoto hakui. Mtu mzima yeyote anatakiwa ahojiwe kuhusu personal life mwenyewe, sio mzazi wake. Kama ni mzazi basi huyo mtu awe amefariki au akiwa hai atoe ruhusa. Sio kisa mzazi wake ndio ulipwe hela na media za udaku uanze kusema mwanangu alibakwa akiwa mtoto.Kulikuwa na shida gani wazazi kuonesha picha kwa waandishi? Au zilionesha "uhalisia" wa familia enzi hizo? Ha ha ha! Ila kama ndio ukweli why akasirike?
Mkuu nakushauri ingia kwenye uislamuKwani yeye Kobe alikuwa muislamu?
Marehemu babu yangu alikua hivi pia, yeye kusomesha wajukuu ilikua sio big deal kwake, wewe ukifanikiwa ni maisha yako na wanao, hutokaa usikie analalama ati humpi pesa, humkumbuki etc.Nishaanza kuzeeka na siogopi hilo.
Ndivyo dunia ilivyo.
Usiweke matumaini sana kwa wanao utakufa kihoro.
Nawapenda wanangu so nahitaji pia upendo kutoka kwao.
Nikisema upendo simaanishi upendo wa kiuchumi.
Maisha yangu nimeshayazoea, sihitaji ndege wala gari uzeeni. Kwakifupi nshazeeka sina hayo matumizi nahitaji upendo tu
Hii ni tabia ya kitajiri sana. Na mara nyingi watu wenye tabia hii huwa wanajipanga kusimama wenyewe na kuridhika na maisha yao hata kama si ya kifahari.Marehemu babu yangu alikua hivi pia, yeye kusomesha wajukuu ilikua sio big deal kwake, wewe ukifanikiwa ni maisha yako na wanao, hutokaa usikie analalama ati humpi pesa, humkumbuki etc.
Yeye alikua na bustani zake, mifugo na mashamba yaliyomkeep busy uzeeni mwake.
Nadhani wazee wengi kutaka kuletewa kila kitu na watoto ndo hujenga hiyo dhana ya sijui laana na hizo blah blah za kutaka huduma kwa lazima ilhali na mtoto ana majukumu yake mengine.
Nimejaribu kufuatilia inaonyesha wazazi wa Kobe ndiyo tatizo.
1. Kukataa kijana wao amwoe Vanessa. Sababu ikiwa ni umri mdogo Kobe wakati anataka kumwoa Vanessa. Kobe alikuwa 21 na Vanessa 17 wakati wanavalishana pete ya uchumba. Pia sababu nyingine Vanessa si African American. Wazazi walipendelea aoe African American.
2. Si wazazi tu hata dada wa Kobe walikuwa hawampendi Vanessa. Kumbuka Kobe alikuwa anawahudumia kwa kila kitu dada zake.
3. Kwenye interview Kobe aliwahi kusema aliwahi kutaka kuwanunulia nyumba nzuri wazazi wake lakini wakasema not enough.
4. Wazazi wa Kobe walishawahi kuuza baadhi ya medali muhimu za Kobe bila ridhaa ya Kobe. Hii si sawa.
5. Wazazi na dada wa Kobe hawakuhudhuria harusi ya Kobe.
Ukifuatilia kwa ukaribu wazazi au familia ya Kobe ilikuwa inamsumbua na kutompa uhuru wake kufanya maamuzi kama anavyotaka. Hii si sawa.
Pia nimeona hata mama wa Vanessa ni shida sana.
Amefungua shauri la madai akitaka alipwe $96 kwa kila saa masaa 12 kwa siku kwa miaka 18 akidai alikuwa anawasaidia Kobe na Vanessa kulea watoto wao. Yani bibi anataka alipwe kuwaangalia watoto hapa na pale kwasababu Vanessa amesema si kweli mama yake alikuwa anawasaidia kulea watoto kama kazi bali ni yeye ni bibi na alikuwa anaangalia watoto kama wanavyofanya wakina bibi wengine tu.
Pia kumbuka huyu mama wa Venessa alikuwa anapatika kila kitu na nyumba/apartment ya bure analipiwa.
Hapo unaweza ona Kobe alikuwa mtu poa na si kweli alikuwa hawajali wazazi.
Kabisa mkuu, msiba wake tulisherekea maana watu walikua wengi mno, ile connection aliyokua nayo hakuna mwanafamilia alieirithi kwakweli.Hii ni tabia ya kitajiri sana. Na mara nyingi watu wenye tabia hii huwa wanajipanga kusimama wenyewe na kuridhika na maisha yao hata kama si ya kifahari.
Halafu hao mara nyingi huwa na utajiri wa watu. Yani mshua anaweza kuwa hana hela ila ile network yake ya watu inavyoweza kufanya mambo tu ni zaidi ya hela.
Sijazungumzia kumrithisha mzazi mali. Ila kama ana uhitaji, na mali moto anazo nyingi kwa nini ushindwe kumpa sehemu yake?Mkuu usichanganye mambo.
Kuheshimu mzazi na kumrithisha mzazi ni vitu viwili tofauti.
Tunapaswa kuheshimu wazazi ila sio kurithisha wazazi.
Tunarithisha watoto, wazazi tunawapa only upendo
uko sawa, wakaridhi za wazazi waoWazazi wakarithi mali za wazazi wao yani mzazi unataka kurithi mali za mtoto wako na wajukuu wako watarithi nini?
Mi bado mdogo.
Umekuwa kimya shauri yako.
Ni sahihi kwa namna moja ama nyingine, lakini mkuu kiranga hawa macelebrity mimi sitaki kusikia excuse zao wamemake hela nyingi kuwatunza wazee wao sio issue ni hawataki kwa sababu zao tu, lapili hawa wamerekani ndo watu wakusekwa wazee wao kwenye retirement homes, socially kuna vitu vingi sana wanapuyangaNa wao wengine wanawaona nyie mna vitu vya ajabu sana kumpa mtoto wajibu wa kumtunza mzazi.
Wanaona that is unnatural, mzazi ndiye anatakiwa kumtunza na kumrithisha mtoto, si mtoto kumtunza na kumrithisha mzazi.
Kuna tangazo moja la biashara la TV Marekani, mtoto kakaa na baba yake wamekula mgahawani, sasa imefikia wakati wa kulipa.
Baba anataka kulipa, lakini mtoto anamkataza kulipa, anasema wewe umestaafu unalipwa pensheni ndogo, fixed income, huwezi ku afford kuitumia ovyo.
Mtoto anataka kulipa.
Mtoto anavyotaka kulipa, baba naye anamkataza kulipa, anasema wewe unafanya kazi bado, una majukumu mengi kuhudumia watoto wako, unatakiwa kujipanga kwenye mafao yako ya uzeeni.
Kila mtu anamfikiria mwenzake.
Nikasema hapa angekuwa Baba wa kibongo angeona kuhudumiwa na mtoto ni sehemu ya "pensheni" yake. Asingemfikiria mtoto.
Tena wengine huwa wanasema kabisa "nakula pensheni".
Hapa inategemeana uwezo wa Baba wakati huo dhidi ya kipato cha Mtoto huyo.Na wao wengine wanawaona nyie mna vitu vya ajabu sana kumpa mtoto wajibu wa kumtunza mzazi.
Wanaona that is unnatural, mzazi ndiye anatakiwa kumtunza na kumrithisha mtoto, si mtoto kumtunza na kumrithisha mzazi.
Kuna tangazo moja la biashara la TV Marekani, mtoto kakaa na baba yake wamekula mgahawani, sasa imefikia wakati wa kulipa.
Baba anataka kulipa, lakini mtoto anamkataza kulipa, anasema wewe umestaafu unalipwa pensheni ndogo, fixed income, huwezi ku afford kuitumia ovyo.
Mtoto anataka kulipa.
Mtoto anavyotaka kulipa, baba naye anamkataza kulipa, anasema wewe unafanya kazi bado, una majukumu mengi kuhudumia watoto wako, unatakiwa kujipanga kwenye mafao yako ya uzeeni.
Kila mtu anamfikiria mwenzake.
Nikasema hapa angekuwa Baba wa kibongo angeona kuhudumiwa na mtoto ni sehemu ya "pensheni" yake. Asingemfikiria mtoto.
Tena wengine huwa wanasema kabisa "nakula pensheni".
Kitu cha muhimu kabisa ni kwamba mzazi ana wajibu wa kumlea mtoto mpaka afikishe umri fulani. Zaidi ya hapo ni option kuendelea kum support.Hapa inategemeana uwezo wa Baba wakati huo dhidi ya kipato cha Mtoto huyo.
Africa uchumi wake umepita au inapitia siasa nyingi ambazo hazi akisi ukweli hivyo inaweza kuwaachia wazazi wetu katika Hali Mbaya au kumbana Mtoto kuchomoza.
Mfano wazee wetu enzi hizo kazi zilikuwa zinapatikana, hivyo Imani Mtoto atakuwa Naye atapata kazi, Naye atafanya yake, THB ipo atajipanga atajenga, kabla ya ku staafu, Kiwanja anaomba atapata, matibabu bure au kama ni NHIf ipo for life, lakini unaonaje sasa hivi Hali sio Hali., hivyo hatuwezi kusema hapa Mzazi alishindwa, kujiwekea akiba ya uzeeni .