John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Atawale?Ukoo upande wa mume watafute ndugu wa huyo mume atawale hizo mali. Hakuna majadala.
Atatawala hizo mali kwa utaratibu gani au kwa mamlaka ipi?
Ama kweli UJINGA ni janga hatari zaidi kuliko hata kifo.