J John Wickzer Mulholland JF-Expert Member Joined Apr 13, 2023 Posts 6,656 Reaction score 14,403 Aug 27, 2023 #121 kibobori mahoro said: Ukoo upande wa mume watafute ndugu wa huyo mume atawale hizo mali. Hakuna majadala. Click to expand... Atawale? Atatawala hizo mali kwa utaratibu gani au kwa mamlaka ipi? Ama kweli UJINGA ni janga hatari zaidi kuliko hata kifo.
kibobori mahoro said: Ukoo upande wa mume watafute ndugu wa huyo mume atawale hizo mali. Hakuna majadala. Click to expand... Atawale? Atatawala hizo mali kwa utaratibu gani au kwa mamlaka ipi? Ama kweli UJINGA ni janga hatari zaidi kuliko hata kifo.
IDFakenyingine Senior Member Joined Sep 28, 2022 Posts 176 Reaction score 441 Aug 27, 2023 #122 Huu uzi unadhihirisha watu wengi ni WAJINGA, WAJIMA, WANA UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI na WAMEKATA KABISA TAMAA YA KUFANIKIWA kwa juhudi zao kwnye maisha!
Huu uzi unadhihirisha watu wengi ni WAJINGA, WAJIMA, WANA UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI na WAMEKATA KABISA TAMAA YA KUFANIKIWA kwa juhudi zao kwnye maisha!
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Aug 27, 2023 #123 John Wickzer Mulholland said: Maiti inaweza kuzikwa mahali popote pale na mazishi kufanywa na mtu yoyote yule, na suala hili wala halina uhusiano wowote ule kwa wazikaji kuwa na uhalali wa kurithi mali za marehemu aliyezikwa. Click to expand... Wewe utakuwa panyarodi, yaani mtu anakuja nyumbani kwako anaichukua maiti yako na anatokomea nayo kwenda kuizika apendako!
John Wickzer Mulholland said: Maiti inaweza kuzikwa mahali popote pale na mazishi kufanywa na mtu yoyote yule, na suala hili wala halina uhusiano wowote ule kwa wazikaji kuwa na uhalali wa kurithi mali za marehemu aliyezikwa. Click to expand... Wewe utakuwa panyarodi, yaani mtu anakuja nyumbani kwako anaichukua maiti yako na anatokomea nayo kwenda kuizika apendako!