Miriam Migomba aacha kazi TBC

Miriam Migomba aacha kazi TBC

Ndio maana tangu mwezi wa 12 mwaka jana sijawaskia hewani, nikadhani wapo likizo ya muda na maboresho ya vipindi yao.
 
Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.

Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya Djaro Arungu kuondoka wiki iliyopita.

View attachment 2898427

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
hivi tuseme ukweli tu, huyu naye tumwite mwandishi wa habari?
 
Katika blunder ambayo Magufuli alifanya ni kuwapa vyeo vya kiutendaji academicians ndani ya Serikali the so called Ma doctors na Professors, hawa watu managerial skills ni zero.

Waachwe waendelee kufundisha na kuwafokea wanafunzi ndio level yao.
hao wanasumbua kila sehemu, wanachojua ni theory tu ila practice ya chochote hawajui. wengine aliwaleta Mahakamani majaji, wale tunaoendaga mahakamani tunawajua, ukienda kwa jaji aliyetolewa chuo gani sijui chochote kile ambaye hakuwa anapractice, hadi unamwonea huruma, hapo unajuakumbe elimu sio vyeti, ni ujuzi unaotokana na uzoefu wa practice ya kitu. ni mambumbumbu mno, yule phd judge ......naomba niishie hapa nisijemtaja jina.
 
Kama Dijaro Arungu kaacha kazi sasa Besti Nasso si atakua analia Sana maana ndo msaniii pekee ambae nyimbo zake hazipigwi radio yoyote zaidi ya TBC alafu hapo TBC yenyewe ilikua zinapigwa kwenye kipindi cha dijaro arungu tu.
Hahahaha
 
Katika blunder ambayo Magufuli alifanya ni kuwapa vyeo vya kiutendaji academicians ndani ya Serikali the so called Ma doctors na Professors, hawa watu managerial skills ni zero.

Waachwe waendelee kufundisha na kuwafokea wanafunzi ndio level yao.
Vipi Ayoub Rioba (PhD) hakubaliani na maono ya watangazaji!? Kwa nini huyo alie!? Anaondoka bila kupenda!? Bila shaka Kuna kitu hakiko sawa.
 
Usikute ni manyanyaso ya kingono, kakataa. Unajua wanawake mateso huwa hayaishi. Hapo najua itakuwa ngono tu kamkatalia mkubwa mmoja basi
Sasa kama mtangazaji mkubwa kama huyu analia (kama kweli kanyanyaswa kingono) si atakuwa mjinga TU wakati Kuna njia nyingi za kupambana, vipi house girl wa nyumbani atafanyaje!?
 
Kama Dijaro Arungu kaacha kazi sasa Besti Nasso si atakua analia Sana maana ndo msaniii pekee ambae nyimbo zake hazipigwi radio yoyote zaidi ya TBC alafu hapo TBC yenyewe ilikua zinapigwa kwenye kipindi cha dijaro arungu tu.
Nimecheka sana mkuu😅😅😅😅 kwahiyo Best Nasso kuacha kazi kwa Djaro chozi la uchungu limemtoka
 
Uache kazi shirika la uma kama TBC unakichaa?Kwa mtangazaji yeyote anayejua ugumu wa hii kazi hasa kimaokoto atakubaliana nami kwamba shamba la bibi watu wanaloga wabaki pale.Hapo waseme wamepigwa chini,na Sio kuacha.
 
Nakubaliana na wewe, yaani hao ma VCs vyuo vyote ni vimeo inasemekana siku hizi kama shule za misingi au sekondari kuna jamaa yangu anasema no independent thinking nowdays, ukijifanya mbishi wanakuhamishia ka chuo ka ajabu ajabu hahaha
Tatizo ni wanafunzi
 
Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.

Migomba anakuwa mtangazaji wa pili kuondoka kwenye Shirika hilo ndani ya mwezi mmoja baada ya Djaro Arungu kuondoka wiki iliyopita.

View attachment 2898427

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Au kalazimishwa? Pengine ni wale CDF anawasema? Majina yao kama magumu magumu kidogo. Ni katika kuwaza tu.
 
Kama Dijaro Arungu kaacha kazi sasa Besti Nasso si atakua analia Sana maana ndo msaniii pekee ambae nyimbo zake hazipigwi radio yoyote zaidi ya TBC alafu hapo TBC yenyewe ilikua zinapigwa kwenye kipindi cha dijaro arungu tu.
Naunga mkono Hoja, hili Litakua Anguko la Best Nasso [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom