Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analia kwa sababu Anaenda kupata bwana mpya (mwajiri mpya)Sa analia nini?
Akili yako na uwezo wako wote umeishia hapo? Na vipi Djaro na yeye ni rushwa ya ngono amemkataa mkubwa fulani?Usikute ni manyanyaso ya kingono, kakataa. Unajua wanawake mateso huwa hayaishi. Hapo najua itakuwa ngono tu kamkatalia mkubwa mmoja basi
Mkuu, Kama itatokea umeachishwa kazi serikalini. Stahiki zipi utazipa baada ya kuondoka kazini?Kwamba ulikua unajua serikalini haiwezekani kuacha kazi? Mbona kila siku watu wanaacha kazi huko serikalini?
Best Nasso amezikosea nini hizo redio nyingine?Kama Dijaro Arungu kaacha kazi sasa Besti Nasso si atakua analia Sana maana ndo msaniii pekee ambae nyimbo zake hazipigwi radio yoyote zaidi ya TBC alafu hapo TBC yenyewe ilikua zinapigwa kwenye kipindi cha dijaro arungu tu.
Yaweza kuwa hivyo ila afunguke uma ujue kinachoendelea hapo TBC.Usikute ni manyanyaso ya kingono, kakataa. Unajua wanawake mateso huwa hayaishi. Hapo najua itakuwa ngono tu kamkatalia mkubwa mmoja basi
Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.
Fagio la ChumaMbona kamaliza kwa uchungu sana. Shida ni nini?
Wewe ulitaka afiche kitu gani? amesema ameacha kazi kuna kingine?Ni kitu gani anaficha, ni kama vile anatafuta sympathy kwenye jambo ambalo bado halijakuwa wazi...
Wakina Sisi Mwaka tu tukiona hapaeleweki tunatafuta chobingo nyingine kwenye maokoto mengi mengi mengine,Unawezaje kukaa kwenye kampuni moja Miaka 20? Unless kuwe na growth na mpunga, vinginevyo hapana asee.
Wewe ulitaka afiche kitu gani? amesema ameacha kazi kuna kingine?
Mwisho amevua miwani we umeona amefanyaje?Umeitazama hiyo video?
Umeona hapo mwishoni alichofanya huyo mwanadada?