Miriam Migomba aacha kazi TBC

Miriam Migomba aacha kazi TBC

Kama Dijaro Arungu kaacha kazi sasa Besti Nasso si atakua analia Sana maana ndo msaniii pekee ambae nyimbo zake hazipigwi radio yoyote zaidi ya TBC alafu hapo TBC yenyewe ilikua zinapigwa kwenye kipindi cha dijaro arungu tu.
Best Nasso amezikosea nini hizo redio nyingine?
Tudadavulie ingawa kidogo.
 
Jinamizi la watangazaji kuacha kazi bado linaendelea kuitafuna TBC, Mtangazaji mwengine mkongwe Miriam Migomba ametangaza kuondoka Shirika la Utangazaji Tanzania TBC baada ya kuhudumu kwa muda mrefu.

Anaposema anawaambia mashabiki zake kwamba anaacha kazi, kwani yeye ni timu au mwanamichezo hadi awe na mashabiki?

Ni kitu gani anaficha, ni kama vile anatafuta sympathy kwenye jambo ambalo bado halijakuwa wazi...
 
Back
Top Bottom