Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wote wanaingia kweny makosa rejea hukumu kwa watu wa nabii rut...Hata riba mpokeaji na mtoaji ni kundi moja la wala ribaHujui usemalo mkuu yote haramu kwa Mungu.
MFiraji na mfirwaji wote fungu moja
Dah kule home Kuna sista alienda Saudia . Akafanya kazi kwa miezi kadhaa. Baadae mke was boss akamtuhumu Kwamba anatembea na mumewe. Basi akasukumiwa chini kutoka juu ya ghorofa . Akafanya kifo kibaya . Tulimzika mwaka 2018. Masahibu ya Mariam yanaangazia shida wazipatazo dada zetu mamia kwa mamia waendao nchini humo. Cha ajabu hata ukiwaambia huko so salama. Hawataki kuamini! Inaskitisha.
Pole mamu. Na hongera kwa kurudi Burundi nyumbani.
Waarabu si wema.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Unyama na ukatili wa kupindukia.Even though utaifa tofauti,,mwanamke unamtesa kiasi hicho mwanamke mwenzio....!!!? [emoji848]
Kuna watu wana roho za kipekee [emoji848]Unyama na ukatili wa kupindukia.
Umeulizia wavaa kobaziKwani na yeye alikuwa Gaidi..?
Ila huyu mama sijui dada na yeye kichwa chake hakifanyi kazi vizuri. Mtu unapigwa namna hiyo badala ya kuchukuwa radical measures unaamua kula na kulala majalalani. Kwa nini asingeomba aonyeshwe polisi au ubalozi?Hayo majeraha mgongoni bado hajapigwa
Moyo umeniuma kweliKwa nini?
PoleMoyo umeniuma kweli
Ivi mabinti wa Malawi wako vizuriIla watanzania tuna roho nzuri sana, wamalawi wamejaa hapa wanafanya kazi za ndani bila kunyanyasika, waarabu sio binaadamu
NI wachapakazi na waaminifu sana, unless ukutane na wale waliokengeuka na mji lakini wengi wao wapo very serious na maisha maana wanatoka kwenye dhikii wakija hapa ni kama wapo ulaya,Ivi mabinti wa Malawi wako vizuri
Ina maana mawakala wakishawapeleka wanawatupa tu hakuna hata ufatiliaji kujua wateja wao wanaendeleaje na wana changamoto gani? Hii imenifikisrisha sanaWanaoenda kusaka ajira pia wajitahidi kufahami zilipo ofisi za ubalozi wa nchi zao
aisee nawapatajeNI wachapakazi na waaminifu sana, unless ukutane na wale waliokengeuka na mji lakini wengi wao wapo very serious na maisha maana wanatoka kwenye dhikii wakija hapa ni kama wapo ulaya,
HAta mimi nimeona kama stori ina ukakasi, eti mtu mpaka ameanza kunuka bado amekomaa tuIla huyu mama sijui dada na yeye kichwa chake hakifanyi kazi vizuri. Mtu unapigwa namna hiyo badala ya kuchukuwa radical measures unaamua kula na kulala majalalani. Kwa nini asingeomba aonyeshwe polisi au ubalozi?
sasa hili swali sijui namna ya kukujibu ila wengi ambao mimi huwa nawapata ni kupiyia kijana wangu wa garden ambae nae ni mnyasaaisee nawapataje