Miriam Ndayishimie: Nilianza kunuka kutokana na vidonda vya majeraha ya kupigwa na muajiri wangu

Miriam Ndayishimie: Nilianza kunuka kutokana na vidonda vya majeraha ya kupigwa na muajiri wangu

Hujui usemalo mkuu yote haramu kwa Mungu.
MFiraji na mfirwaji wote fungu moja
Wote wanaingia kweny makosa rejea hukumu kwa watu wa nabii rut...Hata riba mpokeaji na mtoaji ni kundi moja la wala riba
 
Dah kule home Kuna sista alienda Saudia . Akafanya kazi kwa miezi kadhaa. Baadae mke was boss akamtuhumu Kwamba anatembea na mumewe. Basi akasukumiwa chini kutoka juu ya ghorofa . Akafanya kifo kibaya . Tulimzika mwaka 2018. Masahibu ya Mariam yanaangazia shida wazipatazo dada zetu mamia kwa mamia waendao nchini humo. Cha ajabu hata ukiwaambia huko so salama. Hawataki kuamini! Inaskitisha.
Pole mamu. Na hongera kwa kurudi Burundi nyumbani.
Waarabu si wema.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Wanaume wa kiarabu wanapenda wanawake weusi
Wengi huwa wapenz wa siri wa baba wenye nyumba
 
Point waarabu msitaje dini hata hazihusiani kabisa.
 
Msiende nchi za watu Kwa arabuni ninao wajua walienda wametoa sana sijawahi kusikia hayo manyanyaso ila yapo .

Ila kwa Mimi hapa nimzika Wana wanne kwa kupigwa shaba south Africa na wapo kiboa kutwa wanadrop shule wanaenda .. uhalisia sioni haki yetu tukiwa nchi za watu labda kupiga picha tu labda uende kwa kula bata ila kufanya kazi na kutafuta Maisha ni hatar sana
 
Hayo majeraha mgongoni bado hajapigwa
Ila huyu mama sijui dada na yeye kichwa chake hakifanyi kazi vizuri. Mtu unapigwa namna hiyo badala ya kuchukuwa radical measures unaamua kula na kulala majalalani. Kwa nini asingeomba aonyeshwe polisi au ubalozi?
 
Hamna mdada aliyefanya kazi uarabuni ambaye ana hamu ya kurudi huko
 
Kuna ma mtu yanaona Sifa kujifananisha na waarabu etii ooo sisi asili yetu ni watu wa Makati kumanishaa niniii? Mi nakuona sio best race wala nini sana sana nakuona kama we chimbuko la ma terrorists au jamii yenye roho mbaya
 
Ila watanzania tuna roho nzuri sana, wamalawi wamejaa hapa wanafanya kazi za ndani bila kunyanyasika, waarabu sio binaadamu
 
NI wachapakazi na waaminifu sana, unless ukutane na wale waliokengeuka na mji lakini wengi wao wapo very serious na maisha maana wanatoka kwenye dhikii wakija hapa ni kama wapo ulaya,
aisee nawapataje
 
Ila huyu mama sijui dada na yeye kichwa chake hakifanyi kazi vizuri. Mtu unapigwa namna hiyo badala ya kuchukuwa radical measures unaamua kula na kulala majalalani. Kwa nini asingeomba aonyeshwe polisi au ubalozi?
HAta mimi nimeona kama stori ina ukakasi, eti mtu mpaka ameanza kunuka bado amekomaa tu
 
Back
Top Bottom