Dah kule home Kuna sista alienda Saudia . Akafanya kazi kwa miezi kadhaa. Baadae mke was boss akamtuhumu Kwamba anatembea na mumewe. Basi akasukumiwa chini kutoka juu ya ghorofa . Akafanya kifo kibaya . Tulimzika mwaka 2018. Masahibu ya Mariam yanaangazia shida wazipatazo dada zetu mamia kwa mamia waendao nchini humo. Cha ajabu hata ukiwaambia huko so salama. Hawataki kuamini! Inaskitisha.
Pole mamu. Na hongera kwa kurudi Burundi nyumbani.
Waarabu si wema.
Sent from my TECNO RA7 using
JamiiForums mobile app